She got a gwan....

She got a gwan....

Maana yake ni nini kwanza?
Gwan ni neno la kijamaica linalomaanisha 'go on' ila mara nyingi hutumika kwenye sentensi fupi 'wa gwan' kumaanisha 'what is going on'.

Mpaka anafariki dunia, Mangwea hakuwahi kutoa tafsiri ya alivyolitumia yeye kwenye wimbo wake.. Japo ukiamua kutumia akili za kuunga unga, utaelewa mantiki yake ilikuwa ni kumaanisha 'she got one' - yaani huyo demu amekamilika kwenye kila idara..

Naweza nisiwe sahihi.
 
Hello JF,

Mwana dada gani humu has got a gwan??😛😛😎😉🤣


Hii ngoma ilikuwa ndo dancehall iliyokuwa inatikisa kipindi hicho, mipango ikawa kwamba remix ikafanyiwe jamaica na mkali wa dancehall kipindi hicho beenie man, mimi nilitamani akaipige na wayne wonder
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom