Huu wimbo kama unajua nisaidie

Huu wimbo kama unajua nisaidie

DVC

JF-Expert Member
Joined
Jan 11, 2019
Posts
219
Reaction score
215
habarini wanajamvi! poleni na misuko suko

moja kwa mojaa kuna wimbo nimeshindwaa kupata jina au lyrics yake, umeimbwa na msaani kutoka mwanzaa.

baadhi ya lyrics zake,

"jitunze mke wangu, watunze wangu....
na hyo biashara ya dagaaa usiache mamaa...."

nisaidieni
 
Unaitwa Asela umeimbwa na Abuu Mkali
 
Msaani ndo nini na Mwanzaa ndo wapi.
 
Back
Top Bottom