Utaniambia nini? Ya Pr J

Me too

JF-Expert Member
Feb 9, 2015
7,326
9,189
Kuna watu wanapendezea mziki kwakweli.

Tuache ushabiki wa kizuchu
Kikonde gang
Kikiba
Au mondi

Ukweli

Leo supa musician ni PR J .

Utaniambia nini!?
Ninaushahidi kama taulo la guest!

Eti wewe utaniambia nini
Nyota kwetu ni sigara Kali

Malizieni na nyie mistari konki ya PR J kwenye wimbo wake huo wa utaniambia nini?.
 
Prj ndo nan
 
Kali sanaaa!! Japo me nnaona sasa hivi haandiki kama enzi zile za Bongo dar es salaam,Jina langu, Tathimini n.k...au siku tulia usikilize album yake ile Machozi,Jasho na damu!! Yule ndo alikuwa profesa sasa!! Au sikiliza Hapo vipi
Uko sahihi labda ndiyo mambo yamechenji.....albamu ya machozi jasho na damu inamistari mikali sana, wale tuliosikiliza pia Hard blasters 2000,Nyimbo kama Tuko nyuma, Eeeh Mola, Mam Sap, Fanani,kama ulisikiliza hizo,unajikuta unashangaa dume zima kuimba Sukari
 
Kweli kabisa mkuu!! Mambo ni kweli yamechenji,ila mimi binafsi sijachenji nayo! Mgumu nyeusi kama kawa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom