Kwangu mm Extraction ndio movie bora 2020

renamaizo

JF-Expert Member
Oct 17, 2014
2,118
3,004
Habar wadau

Kuna mambo huwa yanachekesha sn ukiyafuta wachambuzi wa filamu ukimwambia akutajie movie bora 2020 atakuambia siji wonder woman 1984 mara sijui bloodshoot na movie zengine za ajabu ajabu tu ikifike mahala muache ushamba nimechek movie ya extractiom mambo yaliyonishangaza ktk movie iyo
Kwanza camera haikat hii ina maana haikuungwaungwa sn

Pili video inaonekana ni halisi mambo ya animation hayakutumika sn na wala hamna michoro au computer graphics zilizohusika lkn mkong'oto humo ni heavy mtu anapigwa kibano mpaka anatafuta pa kutokea

Tatu actions zilichukua muda mrefu yaan unakuta dk 20 ni vurugu tu camera ipo constant mtu anapanda gar camera ipo anaendesha gar camera ipo anapanda gorofa camera ipo nataka nitafute behind the scene nione ilikuwaje yaan video inaonekana ipo mtaan kabisa duh apa waigizaji muende shule na wale waigozaji mliozoea kuunga unga km huna mazoez kwenye movoe km hz lazima uumbuke

Nawasilisha
 
Weekend movies
 
naip

movie ni kali check na hizi
john wick 3
13 hours the secrect soldier of benghaz hii ni shida ni mchakamchaka tu humo
 
Extraction si ile movie jamaa mmoja anaua kikosi kizima...?? Sasa mkuu huon huo pia ni uongoo? Yan mtu akaua kundi kubwa kama lile yuko pekeake
bora uongo wa namna hiyo kuliko uongo wa mtu eti anagusanisha mikono kisha inatoka miali ya moto na kuteketeza kikosi kizima yaani mtu anashika kamba mfano wa mnyororo wenye moto nakuanza kupigana na kikosi kizima utopolo tu
 
Marvel wamekosa washaur ile kamba wamekosea kuwa ya mionz bora ata ingekuwa kawaida alafu mtu anapaa na bomu rocket how is this possible ni pumba tupu afu kwenye movie bora yenyewe ndio namba 1 hawa marvel wamechoka
 
Back
Top Bottom