Simulizi : FACEBOOK IMEHARIBU MAISHA YANGU
Mwandishi: GEORGE IRON MOSENYA
SEHEMU YA 1
“"Reshmail Manyama want to be your friend.'confirm' 'ignore' ulikuwa ni ujumbe ambao macho yangu...
MTOTO WA MAAJABU: 1
Mariam alikuwa na mawazo sana kutokana na ile
mimba aliyobeba kupitiliza muda wa kawaida wa
kujifungua yaani miezi tisa kwani kwasasa mimba
yake ilifikisha miezi ishirini na...
HEMU YA KWANZA RIWAYA: MPANGO WA KANDO NA: George Iron Mosenya.. KADRI karandinga lilivyokuwa linazidi kushika kasi ndivyo akili yake nayo ikazidi kuamini kuwa hakuwa katika ndoto tena bali ni...
Habari ndugu zangu
Poleni na msiba
Mi naomba mwenye series ya KULFI anipe iko inaonyeshwa Azam two Sasa Mimi kuifatilia vile naona kuchelewa nimeitafuta YouTube nimekuta matangazo yake tu km Ni...
Tupia jina la ngoma kali za mbele ambazo kila ukisikiliza huwezi kuchoka ili tupate playlist hapa. Naanza mimi.
Chris Brown__Loyality
Enrique Iglesias_Bailando
Wizkid_Daddy yo
Didy_Coming home...
Kama uliwahi kuisifia series hii inayoitwa Lost humu JF njoo pm nikuchape vibao.
Kuna watu wanaingizana mkenge humu, Wanakisifia kitu ila ukitizama ni uchafu mtupu. J.J.Abrams ni moja ya Director...
Mimi ni mkatoliki. Kuna kwaya huwa inanikosha sana hapa Tanzania. Ni kwaya ya mtakatifu kizito parokia ya mtakatifu mwenye heri anuarite iliyoko makuburi Dar es salaam. Kwa kweli ni kwaya ambayo...
Natumaini mu wazima: nisaidie tafsiri ya nyimbo zake zifuatazo.
1. ECOLE
2. ALLO TELEPHONE..
Hata kwa lugha ya kiingereza ingenifaa. Najikuta kupenda kuzisikiliza... Nisaidieni nijue yaliyomo...
Kionjo..
...... USIKU WA MANANE AMBONI TANGA Eneo la miamba yenye mapango ya kihistoria jijini Tanga jirani kabisa na mto mkubwa Tanga nzima uitwao mto Sigi kulikuwa kuna kundi la...
1
Hades Awaits,Heaven Awaits,The Choice is made,
Oh heaven and hades,make peace with each other
For the choices to make are complex
The losses immerse
2
Hades Awaits,Heaven Awaits-The Choice is...
Naomba kufahamishwa app nzuri ya moja ya tv zetu ni nzuri kwa kuangalia tv kwenye simu,app nyingine hata hazieleweki unapoteza mb kudownload lakini unakuta zinasumbua.
Salaaam wakuu,
Nimekuwa nikisikiliza mziki wa bongo flava kuanzia enzi za takeu ikaja kiduku, ikaja ngololo hadi kufikia mpelekee moto.
Ukweli ni kwamba hapo nyuma walianza vizuri kwa upande wa...
Kama mada tajwa isemavyo....ni Ngoma gani zilikubamba Sana zamani kipindi hiko music ulikua music kweli, binafsi me nakumbuka Ngoma moja la daz nundaz Barua, Mandojo&Domokaya Dingi, Dully Sykes...
Artist: DJ Snake & Selena Gomez
Title: Selfish Love
Genre: Pop
Label: DJ Snake Music Productions Limited/Interscope Records
Year: 2021
Nadie tiene que decírmelo
Hablas con otra que no soy yo
Y...
Kama kuna mtu anaweza kunisaidia kupata movie hii ya blacksheep affairs au kwa jina lingine inaitwa another meltdown please naomba anipe au anipe muongozo nitaipataje app nyingi hii movie haipo...
Wakuu heshima popote mlipo.
Naomba mwenye kujua link ya kuipata hii movie. Naitafuta sana angalau nipozee machungu ya kuondokewa na mr prezidaaaa.
RIP JPM
Ukiachilia mbali nyimbo nyingi za maombolezo katika kipindi cha misiba pia nyimbo za faraja na kujenga tumaini jipya ambazo umezisikiliza.
Embu jaribu na hii ya DIZASTA VINA - MWANAJUA ALAFU...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.