TBT: Tupia mstari wowote wa Ngwair

TBT: Tupia mstari wowote wa Ngwair

barcelonista

Senior Member
Joined
Apr 26, 2021
Posts
158
Reaction score
150
Leo ni #TBT, angusha mstari wowote kutoka kwa Albert Mangwea, Mstari ambao hadi leo unabaki kama kumbukumbu aliyoiacha CowBama.(r.i.p)

Naanza Mimi, Ngoma inaitwa Msela humo ndani kuna Juma Nature, KR na Ngweair.

Kuna mstari anasema hivi👇👇👇

🎵🎵🎵🎵Na usione tumepinda migongo ukazani ni vibiongo,, pengine ni ufupi tu wa mlango, We endelea kupata bia mi niache nikapate gongo ila mradi wote tuwe stimu ndio life ya kibongo. Mselaaaa🎵🎵🎵🎵

images (2).jpeg
 
.. hii mistari anasikiliza demu wako akiipigia nyeto,
... hebu kata hiyo instrumental,

- Tupo Juu - Ngwair ft Steve RnB
 
.. hii mistari anasikiliza demu wako akiipigia nyeto,
... hebu kata hiyo instrumental,

- Tupo Juu - Ngwair ft Steve RnB
hatari kuna mchizi humo anaimba sauti ya kukwaruza kwaruza hivi lkn kauwa sana bila kumsahau steve🔥
 
mwanamke kwa mwanaume ni kama mfupa kwa fisi....

naamka napiga mswaki kisha aoga kuweka mwili safi.natupia tshirt white jinsi kaki na simpo naiki...kama wee una bati iyo bati bora ueke kesho ule supu na chapati...

achana na kichwa..
 
Nipeni deal masela aliua Sana
Na kimya kimya ft jay moe hatari
itafute MAFIA yupo na Jay Mo tena weeeee....yani Combination yake ya JayMo ilikuwa🙌
mwanamke kwa mwanaume ni kama mfupa kwa fisi....

naamka napiga mswaki kisha aoga kuweka mwili safi.natupia tshirt white jinsi kaki na simpo naiki...kama wee una bati iyo bati bora ueke kesho ule supu na chapati...

achana na kichwa..
Mikas

Hapo unaizungumzia SIKILIZA NA MIKASI
 
Sitojali ashatembea na wangapi
Kuwa nawe maishani naona bahati
Kila unapopita masela unawadatisha
Babaisha wanabaki macho juu juu……

She got a gwan - Ngwair
 
Kuvaa suti na tai so kupendeza wengi washanyonga sana na mwisho wa siku wakawa juu ya jeneza" no beef
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom