Natafuta bingwa wa draft

Ilankunda1234

JF-Expert Member
Dec 28, 2015
4,356
2,000
Anzisha ligi uone kama hapatikani

Au unataka bingwa alieshinda leo??Usiombe ukutane na mimi birika la kahawa na kashata viko jirani yangu aseee
 

darcity

JF-Expert Member
Jul 20, 2009
5,071
2,000
Kuna mtu anaitwa Mangwelele mtafute mkuu. Kete moja tu tayari ashajua anakufunga vipi.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar threads

Top Bottom