Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Ulimwengu wa ajabu sana watu wanafanya maajabu pia ili kujipatia kipato, yawe ya kweli au ya uongo ilimradi tu wapate chochote mkononi kiende kinywani , sasa huyu jamaa nchi za wenzetu ameonesha...
2 Reactions
2 Replies
893 Views
INAPATIKANA: www.bongosimulizi.com Habari wanajukwaa najua ya kwamba kuna wakati ambao unataka kusoma simulizi unayoipenda lakini kutokana na kukosa mda unashindwa kukaa chini na kuisoma. Lakini...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Mbona kwenye interviews nasikiaga YES, TO BE HONEST, nk, lakini sijawah sikia nyimbo kwa kizungu mwanzo mwisho.. Achana na zile wanataja vijimaneno viwili vitatu tu.
4 Reactions
51 Replies
8K Views
KIKI BILA KAZI NZURI NI ANGUKO LA MSANII Tarehe 27 December 1999, rapa Sean "Puffy" Combs maarufu pia kama P. Diddy alikamatwa kwa tuhuma za kupiga risasi ndani ya NightClub. Pamoja nae...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Habar watanzania Leo Baada ya kuona Deal la Yanga na Azam ndio Nimegundua ni kwa kiasi Gan Moo anawaumiza wenye simba yao na Hakika huu ni utapel wa wazi wazi Yanga imeuza Haki ya Matangazo kwa...
7 Reactions
14 Replies
2K Views
nimejiuliza kati ya hawa waigizaji weusi nani ni mkali zaidi sijapata jibu. we unaona nani mkali zaidi ya wenzake?
3 Reactions
139 Replies
18K Views
Mavi ya kale hayanuki. Hii ni simulizi nyingine ya kweli way back 2007 Mwananyamala.. Bado nilikuwa single hivyo naomba nisipigwe mawe na wale wanaharakati wa baki na mmoja Wanaopafahamu Royal...
34 Reactions
136 Replies
25K Views
Muziki wa dance uliwahi kutamba kwenye miaka ya 1990 hadi 2000, baada ya hapo muziki wa kizazi kipya uliingilia kati japo miaka ya hivi karibuni muziki huu umeishiwa pumzi mpaka unajikuta...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Kwanza nianze kwa Kusema hivi. Sijamfahamu kijana huyu kwa muda mrefu. Huenda nimesikia nyimbo zake nyingi ila sikujua kama ni yeye. Je! Ni lini ali breakthrough kwangu.., ni pale alipofanya...
6 Reactions
52 Replies
11K Views
Wakuu, Ushawahi kwenda Bar? Kuna Live band? Wale jamaa huwa wanapiga Nyimbo za Injili (Gospel) very touching! Achana na Gospel za Kwenye Makanisa ya Manabii! Gospel ya kwenye Bar ina upako very...
6 Reactions
35 Replies
4K Views
Wakuu msaada tafadhali. Kuna movie iitwayo If looks could kill ya mwaka 1991. Mwenye nayo tafadhali. Nimejaribu kui google inapatikana trailer tu. Mhusika mkuu anaitwa Michael Corben. Ni...
0 Reactions
3 Replies
979 Views
Baada ya kukaa kimya kwa kitambo kidogo, yule MC anayefanya 'Hip hop isikilizike' amerudi tena na ngoma mpya ikiwa ni muendelezo wa ngoma pendwa zinazofahamika kama SINAGA SWAGGA. YouTube link 👇👇👇
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nimasaa nane na dk kadhaa tangu king wa bongo flavor yake aachie chupalake jipya alilo mshirikisha Rudeboy kutoka west-Africa [emoji1184]. Ndani ya huu mda wa masaa nane una viewers 500K+...
3 Reactions
5 Replies
2K Views
Diamond alitutangazia album mwaka huu na juzi kati alikua south Africa kufanya finishing ya album leo ameshea picha kwenye page yake ya Instagram akiwa anaongea na mwanamuziki wa marekani swaelee...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
RURION KENSHIN THE FINAL(2021) ni moja kati ya movie zangu bora kwa mwaka hii ni kisanga sana ni mkono mwanzo mwisho. Jamaa anaitwa kenshin himura alikuwa ni samurai na muuaji na mwalimu wa...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Mpira wa miguu ni moja ya burudani kubwa sana ulimwenguni. Mpira wa miguu ni ajira bora kabisa kwa vijana wenye vipaji vya kusakata kabimbumbu sawasawa. Mfano mzuri ni nchi za Amerika kusini...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Hili suala linanikera sana hasa hasa Kipindi cha Asubuhi cha Magazeti kinachoongozwa na Maulid Kitenge na Zungu huwa nasikiliza hadi nakereka. Mimi napendekeza wabadilike kwani sio wasikilizaji...
3 Reactions
22 Replies
5K Views
Back
Top Bottom