Diamondplatnumz Hii Nyimbo aliua sana

Diamondplatnumz Hii Nyimbo aliua sana

Penzi ntalipamba ngonjera
Uber kama tanga segerea.kwa viuno vya baikoko kutoka mwanzabay ,picha twazitwanga kisela post insta wanga kuwakela
Baada ya chali kiboko
[emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95]
 
Damn Nyimbo ya Diamondplatnumz ft Omarion African beauty [emoji91] Iseee ni nyimbo kali sana Unaweza kusahau shida zako zote za Duniani Mwana aliua sana utazani sio yeye aliyeimba #KAMATA [emoji3]
Bwana hakunaga kama Ukimwona mule aliua balaa na ilikuwa blessing in disguise baada ya kuiacha studio Manecky akaiachia bila kumaliza chorus, ile beat ku hang tu kwenye chorus na neno ukimuona ilifanya ile nyimbo iwe kali sana ndo maana siku hizi hata akina mario kwenye chorrus anataja tu haya halafu biti linaendelea. Manecky ni mtu mbaya sana yule jamaa
 
Kumbe,unaweza kusahau shida zako za dunia!!!
Damn Nyimbo ya Diamondplatnumz ft Omarion African beauty [emoji91] Iseee ni nyimbo kali sana Unaweza kusahau shida zako zote za Duniani Mwana aliua sana utazani sio yeye aliyeimba #KAMATA [emoji3]
[/QUOTE]
 
Bwana hakunaga kama Ukimwona mule aliua balaa na ilikuwa blessing in disguise baada ya kuiacha studio Manecky akaiachia bila kumaliza chorus, ile beat ku hang tu kwenye chorus na neno ukimuona ilifanya ile nyimbo iwe kali sana ndo maana siku hizi hata akina mario kwenye chorrus anataja tu haya halafu biti linaendelea. Manecky ni mtu mbaya sana yule jamaa
Diamond wa kwa Manecky ndio alikuwa mwanamuziki na mtunzi mzuri sio huyu wa sasa
 
Kiukweli jamaa kipindi anatoka na pale kati yupo za zari alikua anatoa chupa kali.
Toka zile kamwambie, kesho, no 1, ntarejea, nana nk nk , ila saivi daah sijui content zimeisha kelele zimekua nyingi sana au ndio nyimbo zinazotakiwa uko duniani!!?
 
Penzi ntalipamba ngonjera
Uber kama tanga segerea.kwa viuno vya baikoko kutoka mwanzabay ,picha twazitwanga kisela post insta wanga kuwakela
Baada ya chali kiboko
[emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95]
Masahihisho..

Segera(Tanga) Siyo Segerea..(Dar)

Manzabay (Tanga) siyo Mwanzabay.
 
I am not Sadala's fan,,,,,ila ule wimbo yule bwana aliuimba na melody + beat ipo vizuri kongole kwake
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom