Hit Song Nyingine Hii Toka Kwa King Kiba, Mfalme wa Muziki wa Bongo Fleva

kamba0719

JF-Expert Member
Feb 7, 2018
556
1,000
Mwanzo alikuwa anaponda wanao tumia beat zenye vionjo vya Kinaijeria "....Mara hooo wanatuharibia mziki........mimi ndio king wa bongo fleva.......siwezi tumia beat zakinaija...",haya Jealous,DODO,Salute zote beat zake si zabongo fleva.

Ila sio mbaya kuiga kitu kizuri na ukapatia so nyimbo nzuri.
 

Vishu Mtata

JF-Expert Member
Dec 15, 2019
1,142
2,000
Inatakiwa utumie nguvu sana kumpromote huyu mwamba.

Na ili promo yako ikue basi inabidi ugusie upande mwingine wasafi, konde au nandy la sivyo huwezi pata airtime aisee.
Jamaa ni dependat hawezi simama peke yake 😂😂.

Ngoma ya kawaida tu kwa upende wangu, ngoma nzima karudia rudia tu hiyo jealous.
 

Grahams

JF-Expert Member
Mar 19, 2016
2,082
2,000
Mwanamme mzima badala ya kutafuta pesa unaanza kupromoti kazi za mtu mwingine na hulipwi.Unatia aibu wazazi wako ambao walijinyima kukupa elimu
Mkuu unajuaje labda hiki anachofanya hapa cha kuupromote huu wimbo analipwa??

Dunia imebadilika Chief, sio wote wanalipwa kwa kubeba Zege wengine wanalipwa kwa kuwa Mapromoter tu kama hivi.
 

Kim ji hyun

Member
Mar 30, 2021
54
125
Kiba anaimba sawa bt jinsi anavyomalizia wimbo baada ya beti ya kwanza sielewi, hakuna kinachofata like salute na jealous
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom