Ni kweli mziki wa Tanzania umeshuka?

IKIRIRI

JF-Expert Member
Jan 14, 2018
2,707
2,000
Kumekuwa na makelele mengi kuwa mziki wa Tanzania hauna mvuto tena umeshuka.
Kelele hizi zinapigwa na wasanii wenyewe,djs na producers pia na raia wa kawaida.

Wengi wanaotoa maoni hayo wanaamini mziki ulikuwa juu miaka ya 2000-2009.
Hawazungumzii kabisa mziki wa 1960-1999.

Hoja zao wanasema mziki wa sasa ni wa kimarekani na copy ya Nigeria.

Lakini najiuliza ni lini nchi hii tulikuwa na ladha wetu kwa 100% bila kucopy?

Miaka ya 2000-1999 wasanii walicopy mziki wa marekani, miaka 1960s wasanii wengi walicopy mziki wa Kongo na Kenya.
Mbaya zaidi miaka ya 1990-1999 mziki wa Congo ulitawala kila Kona.

Naomba ufafanuzi kwa wataalumu wa mziki ni vigezo gan vinatumika kujua mziki umeshuka?

Mtazamo wangu naona mziki umekua
1.wasanii wanatambulika kimataifa zaidi ya zamani.
2.wasanii wana pesa kuliko zamani.
3.wasanii wanaheshimika mziki si uhuni tena ni ajira.
4.n.k n.k
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom