Black widow 2021 ni moto sana

Richmoto Kushmoto

JF-Expert Member
Jan 18, 2021
549
557
yelena na natasha wanaingia kwenye mikono dreykov wanapikwa kwa mafunzo makali na mbinu mbalimbali za kijasusi wao pamoja na mamia ya wasichana wanafanya kila wanchoambiwa kwa ubongo wao ni kama umepumbazwa

Yelena akiwa kwenye mission ya kumuua dada mmoja mwenye antidote ya kuwarudisha kwenye kumbukumbu zao za kawaida anafanikiwa kumuua lakini teyari anapuliziwa kemikali uson akili inamkaa sawa

Anafanikiwa kukutana na dada yake lakini wanazichapa kwanza asee alafu ndo wanasuka mipango wa kwenda kumtoa baba yao jela

Hataree dj mack naomba uje ufanye mambo hapa

Kwa movie kali na latest tembelea netnaija.movie
Screenshot_20210714-192238_Opera.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom