Nathd
JF-Expert Member
- Nov 29, 2016
- 290
- 210
Habari wana Jf
Ni muda mrefu nimekuwa nikiitafuta hii tamthilia ya Kichina iliyokuwa ikioneshwa TBC kwa lugha ya kiswahili lakini Sijafanikiwa kuipata.
Nimejaribu kugoogle kila aina ya context pia sijafanikiwa kuipata na kwa bahati mbaya hata sijui inaitwaje kwa lugha ya Kichina
Mtu yeyote alie na link au anaefahamu ntaipata vipi naomba anisaidie