Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Nigeria pale pale (Nollywood) kuna movie zenye uchawi Sasa napenda kufahamu je katika uhalisia wa maisha Yao uchawi wanauamini kwa kiwango gani na Wana upractice kwa mfumo upi? Wa kienyeji au ndo...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wana boda salaam. Naombenj shule kidogo ya kuhusu YouTube tranding. Diamond aliachia wimbo wake siku moja kabla Kiba hajaachia ngoma yake. Wakati diamond ana views 3m ndani ya siku tatu na...
1 Reactions
15 Replies
3K Views
RIWAYA; DOMOKAYA. NA; BAHATI K MWAMBA. SIMU; 0758573660/0658564341. 1. Walishushwa kwenye basi la wafungwa na kuamriwa kuchuchumaa huku wakiwa wamefungwa pingu za miguu...
7 Reactions
66 Replies
13K Views
Mwaka jana Mary aliomba Ken shilingi laki mbili za bongo kwa dharura.Ken aliogopa kumpa lakini Mary akalia Ken akakubali lakini ilibidi akope kutoka benki, kupitia simu.Mary alifurahi akasema...
8 Reactions
35 Replies
3K Views
MATUNI “NAFSI MOJA SEHEMU TATU TOFAUTI” By Author Xav Simulizi; “MATUNI” (01) Mtunzi; Author Xav #StarXavEntertainment ==================== -UTANGULIZI- NI Tumaini, binti ambaye anarithishwa...
4 Reactions
39 Replies
25K Views
1. Diamond - Views Milioni 33.4 2. Rayvanny - Views Milioni 21.5 3. Zuchu - Views Milioni 19.1 4. Mbosso - Views Milioni 16.4 5. Harmonize - Views Milioni 16.2 6. Alikiba - Views Milioni 11.9 7...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Jana Baada ya Diamond kupata views m1 ndan ya masaa kumi na 3 alifanya part nyumban kwake kwenye parking yake ya Magar na kusherekea rikod yake mpya ya kupata views weng ndan ya mda mchache kitu...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Wadau please mwenye wimbo wa huyu Mama Carola Kinasha uitwao Ni Pendo Tu naomba anipostie hapa nimeutafuta sana bila Mafanikio. Youtube bila myspace link imekufa. Mkito nimelipa but naona kama...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kama wewe ni mpenzi wa mziki mzuri basi nenda katafute hii album mpya ya mkali sarkodie. Hakuna ngoma ya kuskip ni mdundo juu ya mdundo. Kikubwa zaidi mmakonde HARMONIZE ameua sana
3 Reactions
0 Replies
1K Views
Willy Gamba, Joram Kiango, na Kamanda Amata (TSA1)
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Nimeona tangazo la kuahirishwa kwa show za Fally Ipupa Dar na Mwanza.Sikusitushwa hasa kwa sababu ana miziki mingi ya kubahatisha isiyo vutia kama ambavyo ukilinganisha na mkongwe Koffi Olomide...
16 Reactions
94 Replies
53K Views
Jana Kng kiba alitanga kuachia Video ya Wimbo wake Jealous Leo hii,. Baada ya Masaa sita kupita Sadala nae Akatangaza kuachia Video ya Wimbo wake mbovu IYO Masaa machache yaliyopita Alikiba...
3 Reactions
43 Replies
6K Views
Hebu tujuzane animations za Kibongo. Japo tasnia hii bado haijakua lakini kuna chache zimetengenezwa. Hebu tujuzane Animations za kitanzania. Mimi nazifahamu hizi chache. 1. Zamani ilikuwepo moja...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Kama ww ni mpenzi wa car racing na stunt basi hii movie ya mwendelezo wa fast and fuirous inakufaa Han hakuwa amekufa amerudi tena kifo chake kilikuwa kimetengenezwa na mr nobody ili afanye kazi...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Nyimbo: Icole Maana: Shule (School) Album: Bane Kutolewa: 1990 Mtunzi: Oliver N’Goma Mwandaaji / Producer: Manu Lima Kibao hiki ni cha tatu katika Album yake ya Bane iliyotoka rasmi mwaka 1990...
9 Reactions
6 Replies
3K Views
Mwanamuziki wa muziki wa kizazi kipya maarufu kama Bongo Flava Harmonize ametoa wimbo unaoitwa Mang'dakiwe Remix ambao amesema ni Darasa la Amapiano kwa wasanii wengine. Darasa hili la amapiano...
2 Reactions
54 Replies
10K Views
Kumekuwa na makelele mengi kuwa mziki wa Tanzania hauna mvuto tena umeshuka. Kelele hizi zinapigwa na wasanii wenyewe,djs na producers pia na raia wa kawaida. Wengi wanaotoa maoni hayo wanaamini...
0 Reactions
0 Replies
588 Views
BAADA ya miaka minne ya kuajiriwa bila hata kuongezwa mshahara au hata marupurupu, Bwana Juma Hassani aliamua kwenda kwa bosi wake kulalamika. Jibu alilolipata kwa bosi wake ni kwamba, hakupewa...
3 Reactions
3 Replies
974 Views
Straight to the point, Naomba mwenye album mpya ya Yeezy (Kanye West) - Donda aweze kuweka link hapa au kushare, nimejaribu torrents bila mafanikio. Naitafuta sana ngoma ya No Child Left Behind
0 Reactions
1 Replies
839 Views
nilizoea kuishi mwenyewe..ila kwa sasa kuna watoto flan nitakuwa nao..so kwa vile mm ni mdau wa movie sana muda wote...naomba majina ya movie ambazo sitakiwi kuweka kwenye folder/flashdisk au dvd...
3 Reactions
39 Replies
8K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…