Kuhusu Wasafi TV ku-copy vipindi imekaaje?

Kuhusu Wasafi TV ku-copy vipindi imekaaje?

Kawe Alumni

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2019
Posts
8,686
Reaction score
12,016
Ukiangalia TV ya wasafi 95% ya vipindi vyao wamecopy na kupest kutoka EATV

Hata redio yao kwa kiasi kikubwa wamekopi earadio

Ukiondoa ile logo ya W ukawa unaangalia tv utajua unaangalia EATV

Wasafi wangekuja na ubunifu wao hata 50% vingine wamecopy

Wasafi mnafeli hata kabla ya mwaka kupinduka
 
Mbona bongo kucopy ni zaidi ya kawaida au hujawahi kuwaona wasanii wa kiume wabongo wakiwa wamevaa vikuku
 
Sijui anachoshangaa hata WizKid lile jina LA starboy Siyo lakwake kaiba kwa msanii wa marekani anaitwa the weekend Sijui kesi imeishia wapi,But kukopi ni kawaida mbona.
Achana na huyo dada ana hasira na Diamond kisa kamtema Zari utadhani yy ndio katemwa ndo maana comments zake ni za kumdis mondi si tunamjua ndo maana hatupati tabu nae
 
Sijui anachoshangaa hata WizKid lile jina LA starboy Siyo lakwake kaiba kwa msanii wa marekani anaitwa the weekend Sijui kesi imeishia wapi,But kukopi ni kawaida mbona.
Acha kupotosha Dingii,Wizkid kaanza kujiita Starboy 2009 but the Weeknd.Kaanza tu kujiita mwaka 2016 baada ya kushinda tuzo ya Grammy ndo akatangaza atakuja na Album ya Starboy Yenye myimbo kama Reminder,I feel it coming,Starboy,Party monster,,So check the sound ma men.
 
Back
Top Bottom