NAOMBENI NYIMBO ZA HBC

Steven Jibe

Member
Jul 31, 2014
17
4
Ndugu wana jamii nakuja kwenu kuwaomba kwa mwenye nyimbo za kundi la bongo fleva la hard blasters crew(HBC) lililokuwa linaundwa na Niger J,Fanani na Big Willy ambazo ni 1.Funga kazi
2.Tuko nyuma kimaendeleo
3.Pata potea na
4.Nusu peponi nusu kuzimu

Aniwekee hapa au kwa namba ya WhatsApp 0782202112 na pia ukihitaji nyimbo za zamani nichek kwa namba hzo
ASANTNI SANA
 
Mkuu najitahidi kukutumia via WhatsApp lakini naona ipo slow sana sijui shida ni nini?,yaani sikuhizi WhatsApp document yenye kuanzia mb 5 inakuwa ngumu sana kutumwa na inachukua muda sana japo network kwa upande wangu ipo fasta
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom