Mbesigwe
Member
- Sep 27, 2016
- 51
- 54
Shairi: Tumejaliwa sana sisi
Tanzania,Ngao yetu umoja
tumeshikilia, heri tujiulize nyi
watazania, vipi malengo yetu
tumezingatia.
Kiitikio: Mawazo ya Mwalimu
yameshatimia, kudumisha umoja
ndiyo yetu nia, ni wajibu
kumshukuru baba Nyerere
(Karume), kwa furaha kumsifu
wingi wa hamu, mwalimu ndugu
yetu tunamfahamu, mwalimu
ndugu yetu tunamshukuru; Ni
yeye ameleta umoja wa Taifa, ni
yeye ameanzisha Taifa letu
change Nyerere(Karume).
Tanzania,Ngao yetu umoja
tumeshikilia, heri tujiulize nyi
watazania, vipi malengo yetu
tumezingatia.
Kiitikio: Mawazo ya Mwalimu
yameshatimia, kudumisha umoja
ndiyo yetu nia, ni wajibu
kumshukuru baba Nyerere
(Karume), kwa furaha kumsifu
wingi wa hamu, mwalimu ndugu
yetu tunamfahamu, mwalimu
ndugu yetu tunamshukuru; Ni
yeye ameleta umoja wa Taifa, ni
yeye ameanzisha Taifa letu
change Nyerere(Karume).