Kupooza kwa Simba Day leo 19th Septemba tatizo limeanzia wapi?

Sheikh23

JF-Expert Member
Jul 11, 2016
1,128
1,842
Nitashambuliwa ila ukweli na uongo havipikiki chungu kimoja,leo Simba Day imepoa sana ndugu zangu,nnaweza kutafsiriwa vibaya ila Ona hali ilivyokua saa 2:00 Asbh siku ya Wananchi na hali ilivyo muda huu saa 6:30Mchana Simba Day

Hakika Yanga wana mashabiki wengi na wanaohamasika na kuchukua hatua kwa haraka
Tatizo liko wapi? sitaki kuamini hii ni athari ya kuondoka kwa Manara,sitaki kuamini kuwa waliopo wanaferi ktk uhamasishaji,ila niwashauri kuongeza nguvu,kwani wanalo jukumu zito la kushawishi na kuwaunganisha mashabiki ktk matukio km haya.

Nawasilisha...

20210919_122726.jpg
 
Back
Top Bottom