Sumti
JF-Expert Member
- Jan 30, 2016
- 2,342
- 2,196
Habari zenu wakuu humu jamvini.
Nisiwachoshe wakuu, niende moja kwa moja kwenye mada yangu.
Muda huu naandika uzi huu nipo hapa Forty Forty Tabata Bima, ila kiukweli watu tuliopo hapa ni wa kubesabu pamoja na weekend yote hii.
DJ anajitahidi kushusha vitu vya maana kabisa lakini ndio hivyo, ni viti tu vinashangilia.
Je, ni kuongezeka kwa viwanja hapa Tabata, ukosefu wa ukwasi kwa wananchi au Bar haina mvuto tena?