Vyuo vya football coaches

Vyuo vya football coaches

Kiplayer

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2018
Posts
1,355
Reaction score
2,261
Katika dunia hii vyuo vya makocha specific vipo? Tanzania tunavyo?
Napenda kufahamu hili maana mfumo wa kutrain coaches ninaoushuhudia unatunyima fursa wengi. Utasikia kozi Iko Mbeya mara Dar mara MZA mara Arusha. Yaani mafunzo yanakimbiakimbia tu. Kama vyuo vya watu Hawa vipo wahitaji tuna uwanja mpana wa kuwa trained ipasavyo. Sina uhakika kama vyuo vya caliber vipo wenye taarifa msaada wenu.
 
Back
Top Bottom