Umejifunza nini kwenye filamu ulizoangalia tangu utotoni kutoka sehemu mbalimbali duniani

Apollo one spaceship

JF-Expert Member
Jan 28, 2021
242
431
*Nimejifunza kuwa wachina wanazichukia nchi za Magharibi na washirika wake kama Japani Mfano movie za JET LEE
*Nimejifunza kuwa waafrika tunakumbatia unyonyaji mfano filamu ya blood diamond

*Uchawi upo sehemu zote duniani
*Wazungu wana taaluma kubwa kwenye movie industry mfano prison break
*Waafrika hatuna taaluma ya kutosha kwenye hii industry,mfano Tanzania filamu zimejaa uswahiliswahili ambao hauna tija kuifundisha jamii
*Wamarekani wanazichukia nchi zinazolinda maslahi yake dhidi ya unyonyaji mfano filamu ya Chuck Norris

*Wahusika weusi aghalabu hutumika kama mazimwi,majambazi ambayo yamenyimwa akili ya kumuua starring mweupe,majitu ya kutisha kwenye vita za bunduki.Ni Mara chache hupatiwa uhusika bora.

*Movie za Waafrika hazieleweki zina mtizamo gani juu ya utawala mamboleo

Ni hayo tu niliyojifunza,je ww umejifunza nini???????Share with us.
 
Kuna movie ya nsiuka alicheza mrisho mpoto nilijifunza kuwa kufa kupo

Watoto wadogo wengi unborn
 
*Nimejifunza kuwa wachina wanazichukia nchi za Magharibi na washirika wake kama Japani Mfano movie za JET LEE
*Nimejifunza kuwa waafrika tunakumbatia unyonyaji mfano filamu ya blood diamond

*Uchawi upo sehemu zote duniani
*Wazungu wana taaluma kubwa kwenye movie industry mfano prison break
*Waafrika hatuna taaluma ya kutosha kwenye hii industry,mfano Tanzania filamu zimejaa uswahiliswahili ambao hauna tija kuifundisha jamii
*Wamarekani wanazichukia nchi zinazolinda maslahi yake dhidi ya unyonyaji mfano filamu ya Chuck Norris

*Wahusika weusi aghalabu hutumika kama mazimwi,majambazi ambayo yamenyimwa akili ya kumuua starring mweupe,majitu ya kutisha kwenye vita za bunduki.Ni Mara chache hupatiwa uhusika bora.

*Movie za Waafrika hazieleweki zina mtizamo gani juu ya utawala mamboleo

Ni hayo tu niliyojifunza,je ww umejifunza nini???????Share with us.
Nimejifunza kutumia bunduki
 
Usaliti kwenye maisha upo sana, na mbaya wako always hayuko mbali, 24 series
 
Nilikuwa natamani kuwa askari ila baada ya kuangalia movie nikagundua ni kazi ya hatari mno
kingine nimejifunza wenzetu wako mbali sana kwenye huduma za kijamii ambapo kwetu huku hata tukae miaka mia hatutawafikia
 
nimejifunza wenzetu wapo mbali Sana kwenye masuala ya kitabibu na mpaka customer care hospital....

mengine subiri Kwanza nimalizie hii ya kikorea
 
Gape linalo exist between Bongo movies na huko duniani, kule story inaweza ikawa about anything mfano politics na mambo ya ndan kabisa mpaka unashangaa wapi imetoka hii audacity ya ku act movie kama hii. writings nahis zinafanywa kama autobiography flan hivi sisi uku tumekazana na uchawi pamoja na mapenzi ambayo hayahusishi hata hugging sad. Sijui kwa vile system hairuhusu watu kwenda extra miles, kuna conspiracy theories kibao zinazosikika tengenezea movie unashangaa unakamatwa dakika zero kisa umetengeneza movie inayopotosha jamii, aisee tupewe break.

Kingine wahusika wetu ndani ya movie zetu kuwa dumb. Characters kutokuwa intelligent hiki kitu kinaniuma sana sana na kinanikwaza kwann sisi bongo hatutengenez movie yenye character ambae ni smart yuko on top of his game.. mbona kwenye real life tunawatu wengi wa aina hiyo, basi kama ni doctor awe doctor kweli kama ni lawyer awe kweli kweli very smart, dah sasa ukiangalia unakuta character mpuuzi anaongea pumba..binafsi mm upuuzi sifagilii siwez nkaangalia mtu ana act like an idiot kwenye screen yang kisa eti wameskia waki act upumbavu wanakuwa funny, kasema nan Sheldon ni genius still bado anachekesha.

Imetosha..Naweza nkaandika sana nkaboa, mm ni mdau wa movie inaniuma kuona tunayumba
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom