Tuacheni kuangalia movies za mapigano sana na hizi videos games

moyafricatz

JF-Expert Member
Nov 27, 2015
2,900
4,865
Wanajamvi,

Nimeamua kuwaza tu nmje ya box kuhusu hili tukio la leo pale daraja la Salender.

Nimeleta huku kwenye uzi wa entertainment maana huku wengi watakua na ufahamu mkubwa wa hii game iitwayo GTA Vice City.

Kwa jinsi nilivyoona namna yule mwamba amefyatua risasi pale mbele ya ubalozi wa ufaransa na kwa ufahamu wangu,naona ni uangaliaji uliopitiliza wa PlayStation na videos game.

Naona kijana ameangalia mnoo hizi mambo kiasi kwamba ameamua kutoka front na kufanya lea vitendo.

Kwa tuliowahi kucheza game ya GTA VICE CITY tunaona almost matukio yote yanakuwa depicted kule kwenye game jamaa aliyafanya

Ikiwemo setting ya township kwenye magorofa marefu,magari yanayo move (na ukipiga risasi kwenye ile game watu wanakimbia na wanaacha magari au kuwa kimya), pia kwenye ile game mazingira ya bahari karibu na mji kiasi kwamba ukikiwasha pale Town unaweza kimbilia baharini kupanda boti.

Na ukiangalia vizuri jamaa alikua anaelekea usawa wa bahari kule kabla hawajamshoot.

Na katika ile game main target ni kupambana na police ili upate danger stars nyingi na si kuwapiga wananchi.

Ukiangalia elements nyingi sana za ile games zimekua outlined kwenye lile tukio la leo.

Tommy Vercetti ndo staring wa ile game.

Hii ni theory tu.....wewe ndo wa ku judge.

Tuacheni kuangalia movies za kimapigano sana na hizi videos games...zinaweza zikastick into reality na kutufanya tufanye mambo ya ajabu.

Naambatanisha baadhi ya picha za matukio ya kwenye game.

IMG-20210825-WA0046.jpg
View attachment 1908276View attachment 1908278
 
Wanajamvi,
Nimeamua kuwaza tu nmje ya box kuhusu hili tukio la leo pale daraja la salender.
Nimeleta huku kwenye uzi wa entertainment maana huku wengi watakua na ufahamu mkubwa wa hii game iitwayo GTA Vice City .
Kwa jinsi nilivyoona namna yule mwamba amefyatua risasi pale mbele ya ubalozi wa ufaransa na kwa ufahamu wangu,naona ni uangaliaji uliopitiliza wa PlayStation na videos game...
Naona kijana ameangalia mnoo hizi mambo kiasi kwamba ameamua kutoka front na kufanya lea vitendo.

Kwa tuliowahi kucheza game ya GTA VICE CITY tunaona almost matukio yote yanakuwa depicted kule kwenye game jamaa aliyafanya

Ikiwemo setting ya township kwenye magorofa marefu,magari yanayo move (na ukipiga risasi kwenye ile game watu wanakimbia na wanaacha magari au kuwa kimya),pia kwenye ile game mazingira ya bahari karibu na mji kiasi kwamba ukikiwasha pale Town unaweza kimbilia baharini kupanda boti.

Na ukiangalia vizuri jamaa alikua anaelekea usawa wa bahari kule kabla hawajamshoot.

Na katika ile game main target ni kupambana na police ili upate danger stars nyingi na si kuwapiga wananchi.

Ukiangalia elements nyingi sana za ile games zimekua outlined kwenye lile tukio la leo.

Tommy Vercetti ndo staring wa ile game.

Hii ni theory tu.....wewe ndo wa ku judge.

Tuacheni kuangalia movies za kimapigano sana na hizi videos games...zinaweza zikastick into reality na kutufanya tufanye mambo ya ajabu.

Naambatanisha baadhi ya picha za matukio ya kwenye game.

Muhimu: Mods please msiufute huu uzi.View attachment 1908275View attachment 1908277View attachment 1908279View attachment 1908276View attachment 1908278
na wasiwasi na elimu yako kichwani ,
 
Back
Top Bottom