Movie ya Beckett Bonge Moja la stori

Richmoto Kushmoto

JF-Expert Member
Jan 18, 2021
549
557
MOVIE YA BECKETT

Wakiwa matembezini Ugiriki becket na Mpenzi wake april Usiku mmoja wakati becket na girlfriebd wapo ndani ya gari wakielekea sehemu ya kupumzika Ulikuwa ni umbali mrefu hivyo becket akasinzia akashindwa kuumudu usukani Hatimaje gari ikapinduka umbali Km kadhaa mpakaa kubomoa nyumba

becket anazinduka lakin aprili yuko kimya
Becketi anapoteza fahamu anakuja zinduka yupo Hospitali Baada akapelekwa polisi na maafsa wa ugiriki Anatoa maelezo lakini kosa kubwa ni kusema kwamba ndani ile nyumba alimwona mvulana mdogo Maskini becket anaanza kuwindwa kama mnyama kizaazaa kinaanzia hapo Anakuja gundua mchezo mchafu ni kwasababu ya siasa.

Sasa Kitendo cha beckett kusema kwamba alimwona mvulana kilimfanya atafutwe kila kona tena kwa siri na polisi pamoja na wauaji wa kukodi ili kuficha ushahidi kwasababu yule mtoto ni mwanasiasa mkubwa kalasi mwenye ushawishi mkubwa nchini ugiriki hivyo upinzani waliamin kumteka mwanaye kutammaliza nguvu na beckett ndo mtu pekee anayefahamu wapi alipo huyo dogo aloh

itafute uone jamaa alivyombana polisi na maafsa wa ubalozi wake wa USA Ni bonge moja la stori utojutia

imechezwa na John David Washngton
 
Movie ya kawaida sana wala haina jipya... Nyepesi sana..... Si ya kuhangaika kuitizama.
 
Kuna rafiki yangu kaisifia kuwa oooh movie kali kaicheki. Nimetenga muda wangu kuitazama, doh..... Najutia huo muda.

Huyu director, story nzuri ila director kaharibu movie. Plus actor ni sifuri kabisa.

Hii movie angepewa hata Hemedi PHD angefanya vema nina uhakika.

Dah siku hizi mbele wanatoa movie za kindezi muda mwingine?!
 
Dah..... Sishauri mtu apoteze muda kuicheki.
images%20(1).jpg
 
Hii movie becket story nzuri ila actor anaigiza kizembe hadi anaboa. Anakimbia kizembe kama anabusha boya huyu ameniboa.....
 
Huyo
Hii movie becket story nzuri ila actor anaigiza kizembe hadi anaboa. Anakimbia kizembe kama anabusha boya huyu ameniboa.....
Huyo dogo(Mtoto wa Denzel Washington) sionagi kama anakipaji kivile, anatembelea nyota ya dingi. Utaona hata kutembea eti anaiga mikogo ya dingi.
 
Back
Top Bottom