Nashauri Maadhimisho ya "Siku ya Mwananchi" yawe Public Holiday

Sheikh23

JF-Expert Member
Jul 11, 2016
1,128
1,842
Wanajamvi Habari,unaweza usiungane na mimi ila ukweli utabaki kua ukweni,nia,lengo,utekelezaji na manufaa/faida ya shughuli ya Young Africans SC "Yanga" kuanzia kwenye wiki ya wananchi mpaka kilele chake yanaonekana.
Tukianzia Wiki ya Wananchi,hapa timu yenye historia kubwa,mabingwa mara 27 wa ligi kuu tz bara hutoa misaada kwa jamii "rudisha kwa jamii" mf. kutembelea vituo vya watoto yatima,wagonjwa mahospitalini,pia shughuli za kujitolea,usafi wa mazingira maeneo mbalimbali na mema mengi ya kufanana na hayo hufanyika.
Tuje kwenye maadhimisho,siku hii watanzania, wapenzi na mashabiki wa Yanga hukutana na kusheherekea mafanikio ya msimu mzima wa timu yao pendwa,hapa wananchi hufurahi pamoja, kula na kunywa huku wakifuatilia mubashara burudani,mikakati ya timu kwa msimu mpya na matangazo mbalimbali luningani/redioni .
Nichukue fursa hii kuishauri serikali iiboreshe siku hii kwa kuifanya kua 'Public Holiday' kwani;
*Jamii hunufaika
*Hukuza Umoja na mshikamano kwa wa_tz
*Hukuza biashara
*Mapato ya serikali huongezeka mf. Siku ya Maadhimisho
Nisiwachoshe sana,faida ni nyingi haziwezi kuenea kwenye ukurasa huu
Screenshot_20210829-142321_Facebook.jpg
View attachment 1914616
 
Unaelewa kwamba public holidays zina madhara katika uchumi wa Taifa? Kabla ya kupanga public holidays wanakaa wataalamu wa uchumi na utawala na kuangalia umuhimu wa siku na jinsi hela mbadala zitakavyopatikana.
 
Back
Top Bottom