Movie ya Snake Eye: Rate 7/10

Richmoto Kushmoto

JF-Expert Member
Jan 18, 2021
549
557
Movie inaaction za kutosha wale wapenzi wa action Muje Huku kuna watalaam wakina Iko uwaisi Andre Koji Yule Alicheza character ya bruce lee kwenye series ya warrior Ah sahm na wengineo

Story

Wanamwita snake Jamaa Kakua kwenye mitaa maisha ni ya kuungaunga anacheza ngumi za mtaani ili asogeze siku moja anatoka kwenye anakutana na bwana kenta huyo bwana anamwambia nahitaji mtu kama wewe jamaa anakataa lakina bwana kenta anamwambia naweza kukutafutia mtu aliyumuua babaako na kuchoma nyumba yenu moto mwamba analegeza msimamo anaingia kwenye kikosi cha bwana kenta jamaa anafanya dili chafu ikiwemo kuuza silaha kinyemela na dili zingine haramu.

Siku moja bwana kenta anambaini Tommy (andre koji) kuwa ni spy toka arashikage clan kumbuka hii ni koo ambayo hata yeye ametoka huku moja ya koo kubwa sana Baasi anampa snake bunduki amuuwe lakini cha ajabu snake anamwokoa wanapambana na kusepa jamaa anamwambia umeokoa maisha yangu kwahiyo utakuwa upande wetu Kumbe jamaa kaingizwa apeleleze Kwenye hio himaya Bwana kenta anamwambia snake katika hiyo kuna jiwe la moto hivyo ukinipatia nami nitakupa muuaji wa babaako hapo mambo yanaanza asee

Naipa rate ya 7/10
 
Li movie li baya movie nzima eti challenge 3, ukiangalia snake eyes wa kwenye g.i.joe vupo vizuri ma kungfu, judo na masarakasi yamelala pale huyu jamaa hata sijui alikua ana fanyanya nn. Rate yangu ni 3/10 tena tatu yenyewe ni kwa ajili ya yule bibi mkuu wa kikosi
 
Nikitegemea kumuona yule Mjapani gaidi mule lakini wapi. 4/10
 
Li movie li baya movie nzima eti challenge 3, ukiangalia snake eyes wa kwenye g.i.joe vupo vizuri ma kungfu, judo na masarakasi yamelala pale huyu jamaa hata sijui alikua ana fanyanya nn. Rate yangu ni 3/10 tena tatu yenyewe ni kwa ajili ya yule bibi mkuu wa kikosi
Sure movie ya kawaida nilikuw nategemea itakua ya moto sana nilivoichek nmejilaumu
 
Jana usiku nimeiangalia nkasinzia skupenda zile movements za Camera walivyokuwa wanashoot ila story wise na plot haiko vibaya sio unique ila sio mbaya so far mpaka nilivyoona.

Sikuimaliza bado maana nliangalia usiku sana nlkua nimechoka na mizunguko
 
Nimeikubali nimeichek majuzi sijajutia kudownload na kutumia wife ya ofisi, imekaa mkao haswaa
 
Binafsi sijaielewa hii movie, kwenye rating naipa 3/10, jamaa amefail almost challenge zote alizopewa alaf yuko poor kwenye mapambano
 
Ngoja iendelee Amesema anamtafuta Tommy

Jana nimeimalizia hamna kazi pale am giving it C-
Lead actor kazingua kichiz Goulding yeye zake ni drama Crazy rich asians, Last Christmas alifanya vizur pale naona alikuwa ana struggle sana kuvaa ile character
 
Jana usiku nimeiangalia nkasinzia skupenda zile movements za Camera walivyokuwa wanashoot ila story wise na plot haiko vibaya sio unique ila sio mbaya so far mpaka nilivyoona.

Sikuimaliza bado maana nliangalia usiku sana nlkua nimechoka na mizunguko
Mkuu tuko pmj kwenye hilo,sijapenda jinsi camera ilivyokua ikicheza,zile actions huzioni vizuri,sijaipenda na pia sijaimalizia nimeishia njiani,siku ikiwa sina movie nyingine ya kuangalia ndo ntaimalizia
 
Kukosa ni kazi rahisi sana, mtu yupo zake nchi yenye mavumbi ana mawazo serikali yake inamkamua tozo kila kona basi hasira zake anazimalizia katika kukosoa movie ambazo watu wametulia kutengeneza
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom