Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

#TBT Album gani ya Bongo hasa zile za kitambo ilikuwa kali kiasi cha kushindwa kuskip hata ngoma moja. Najua Album zilikuwa zimeenea sana.. Mimi Album ya A.K.A Mimi ya Albert Magwair kwangu...
4 Reactions
30 Replies
3K Views
Vita imana na 1 Kilo Google zinagoma ku download
1 Reactions
12 Replies
1K Views
RIWAYA: JANGA MTUNZI: richard MWAMBE SEEMU YA 1 I Saa 5: 7usiku… DAR ES SALAAM MVUA ILIYOAMBATANA NA RADI iliendelea kunyesha kwa hasira katika jiji la Dar es salaam, hakukuwa na nyota hata...
7 Reactions
67 Replies
19K Views
Mtangazaji wa kituo cha redio cha East Africa Radio kwa zaidi ya miaka 13 akitambulika hasa katika kipindi cha Planet Bongo, Abdalah Ambua a.k.a Dulla planet Ambua ameachia wimbo wake wa kwanza...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Miaka kadhaa iliyo pita nilikuwa na tabia ya kwenda bichi, haswa ile beach ya msasani kupitia pale chole au kwenye kituo maarufu kinachojulikana kwa jina la Macho {kutokana na hospitali maarufu ya...
9 Reactions
176 Replies
37K Views
Ndugu,tafadhali rejea kichwa cha mada hapo juu.Asante
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habarini wadau nimepata wazo la kutengeneza muvi linalomuhusu yule jamaa wa kisomali na kichwa cha habari hapo juu ndio jina husika. Lakini kabla ya kuingia mzigon nimeona nije kushea na wanangu...
5 Reactions
53 Replies
3K Views
Kumekua na utamaduni kwa baadhi ya wafadhili, kufadhili timu hizi pacha kwa wakati mmoja ( Simba na Yanga) mfano mzuri, ni Bia ya Kilimanjaro, Sport pesa CRDB, POSTA BANK(hawa wote wamewahi...
3 Reactions
7 Replies
1K Views
Wazee walio sema SOMA! elimu ni adhina isio pokonywa walikua sahihi sana.. Watu wadini pia wanalao wanasema usimtegemee mwanadamu kwasababu binadamu hufa .. Wote tunajua kua ugali wa Haji...
0 Reactions
0 Replies
804 Views
Je simu yako Ina uwezo wa ku run game zenye nafasi kubwa kuanzia 1GB na kuendelea!?? Nakupa list ya game nzuri kwa huu mwaka 2021 1:TRAINZ SIMULTOR 3 2:OFF ROAD TRUCK 3:.......... Fuatilia hii...
1 Reactions
2 Replies
673 Views
Big brother Naija inaisha leo tuendelee kupeana taarifa nani atanyakua kitita cha pesa siku ya leo na kupata umaarufu na pesa
1 Reactions
2 Replies
884 Views
Ni kwa namna gani mtu anaweza kutengeneza kama film yenye viwango vya juu pia vile vile yenye na maudhui mazuri ili kuwavutia watazamaji wa kazi hio, mtu anatakiwa atumie mbinu zipi kuhakikisha...
1 Reactions
1 Replies
644 Views
Kwa Jinsi ligi kuu bara ilivyoanza na jinsi ushindani unavyoendelea ni mambo mazuri sana. Nazipongeza sana Club ndogo kwenye ligi hii ambazo watanzania wengi walizoe kuona zikifungwa magoli Mengi...
0 Reactions
0 Replies
503 Views
Yule Mjivuni akamsogelea Umsolopogas aliyekua amesimama kwenye njia ya kuingilia nyumba ile walimofikia na mizigi yao, akamwambia 'Wee Mtumwa hebu nipishe nipite nimesha wapa habari ya ujumbe wa...
5 Reactions
133 Replies
17K Views
Drive simulator 2020 Game nzuri kwa simu yako , unaweza review hapa Link: https://youtube.com/channel/UCT8J1d72PZTPhPle0pF400g
1 Reactions
9 Replies
2K Views
MUZIKI WETU. ---------------------- ALBAMU 50 MAARUFU ZILIZOUNG'ARISHA ZAIDI MUZIKI WA KIZAZI KIPYA. (BONGO FLEVA) Bado tunaendelea kuwaletea mwendelezo wa Makala zinazozungumzia kumbukumbu za...
5 Reactions
27 Replies
8K Views
Mwaka 1985 magwiji hawa wa muziki walitoa collabo inaitwa’That is what frieds are for’.
0 Reactions
0 Replies
507 Views
Kama wewe ni mwanamuziki au ni mpigaji wa chombo chote cha mziki iwe gitaa, kinanda, saxophone, drums, flute, marimba,tarumbeta, na vingine vingi karibu tupeane uzofu wa masuala yote yahusuyo...
3 Reactions
25 Replies
47K Views
Back
Top Bottom