Vile vianduje hakika wanafiti kila angle na mojawapo ni zile nyimbo zilizopo kwenye series zao hasa za love story.
Naomba tuweke hapa nzuri ili nipate kuziweka kwa playlist yangu.
Huwa nyimbo za Mayaula Moyoni zinanipa sana wakati mgumu, nikizisikia tu namkumbuka Marehemu Mama angu, alipenda mno nyimbo za Mayaula Moyoni kibao kama Ko Tika Te, ni kibao alicho kuwa anapenda...
Msanii Wizkidayo Ameweka Rekodi Ya Kuwa Msanii Muafrika Wa Kwanza Kufikisha Zaidi Ya Streams Milioni 300 Katika Mtandao Wa Kusikilizia Muziki Wa Audiomack, Audiomack Wameshare Taarifa Hiyo Katika...
Embu character gan unamkubali humu katika series ya See
mimi binafsi namkubali tamactic jun (witchfinder ) na Baba Voss
Hii ni moja ya series bora kabisa ila yule queen alipomwambia harlan...
Tutafute maisha tuwezavyo ila tusisahau kuishi ya duniani; maana mbinguni hakuna kuoa wala kuolewa. Kule ni kuimba, kusifu na kumuabudu Mungu tuu😍📌
Weekeend murua🔥🔥🔥🔥🔥
Habari ya humu wanandungu natamani kuifata furaha yangu ilipo ki ukweli napenda sana michezo ya magari I mean rally na drifting pia sasaa naomba kupata hiyo company humu jf.
Hivi ile nyimbo ya kikongo ipo slow hivii
Huwa nasikia
"Mai Mai Mai Mai , mai Mai Mai , dangai Mai mai" wajuvi washaijua hivi kaimba nani na inaitwaje tafadhali.
KOSA LANGU - 01
Ilikua asubuhi nzuri sana iliyojaa uchangamfu wa aina yake. Hali ya hewa ilikua rafiki kwa kila mtu, mawingu mazito yalitanda anga zima la jiji la Dar es salaam na kulimeza jua...
Wana msemo wao wanasema "eyes wide shut"; ni "wide" (wazi) lakini hapohapo "shut" (yamefungwa)
Yaani wanadai tuko "macho kodo lakini hatuoni"
Na ndio maana wanatuita "sheeple" au kondoo;
na pia...
SIMULIZI FUPI - CHOZI LA FURAHA
Nilishuka garini nikiwa na furaha,hii baada ya kutoka likizo baada ya miezi sita ya kukaa chuoni.Mtu wa kwanza kumuoana alikuwa ni mama yangu ambaye alikuwa...
Subalkheri ndugu zangu,
Naomba yeyote mwenye wimbo wa gwiji Frank Humplink (1927 - 2007) anisaidie. Lengo la kutafuta wimbo wake ni kuutumia kufundisha darasani mchango wake wakati wa kupigania...
Hapa Makambako mi mgeni
Ebu nipeni location za viwanja vikali
# viwanja matata
#viwanja vilivyo changamka
# viwanja vya pombe
#viwanja vyenye misosi na choma
Sehemu fulani amazing
Mganga wa jadi nchini Ghana ameibuka na kudai kwamba yeye ndio alisababisha mchezaji wa zamani wa Chelseafc, @MichaelEssien kushuka kiwango.
Mganga huyo wakati anafanya interview na mtangazaji...
Orodha Ya Album Za Bongo fleva Zilizosikilizwa Zaidi Katika Mtandao Wa Kusikilizia Muziki Wa Spotify.
1. #ABoyFromTandale -Diamond Platnumz Streams 30.4M
2. #SoundFromAfrica -Rayvanny Streams...
Mondi kama Mondi, Hakuna kipya humu just same Mondi akiendeleza kazi yake ya Muziki.
Kusema ukweli mwamba amefikia hatua hata siku akiachia clip anapiga muayo usishangae ikaenda on Trending na...
APPLE-01
NA
Tumain Ernest Stanslaus
Test van pream(Tvp)
Phone;0684024387
‘’Narudia tena, siwezi kumuamini mwanamke yeyote hapa duniani hata siku
moja , labda mama yang utu ambaye kidogo nayeye...
Nikki wa Pili kwa Mara ya kwanza aliingia studio na kufanya kolabo na Joh Makini mwenye wimbo wa Niaje Nivipi na nathubutu kusema sijawahi kusikia mashairi mazito na yenye ujumbe kama haya katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.