#ETrending Achana na kuvunja rekodi zake mwenyewe kufuatia kuujaza Ukumbi wa 02 Arena kwa siku tatu mfululizo, staa wa muziki nchini Nigeria ambaye kwa sasa amekuwa midomoni mwa mastaa wakubwa...
BOKE’S ANGEL
Written by David Samson Ngocho
0629077792
'Boke, come! Come here sweet darling. How are you?' That was Aunt Gake Mokami's voice calling Boke, and that's how Boke was lured into Aunt...
"THE CALL" bonge moja la muvi 2013, ni kitengo cha huduma za dharura 911 Los Angeles, wanapokea simu za matukio ya hatari jijini, halafu kuna huyu jamaa ana matatizo ya akili anateka wasichana...
Kilingana na trend ya amapiano Bongo Land hizi ni nyimbo tatu Bora za amapiano lakini pia nimeweka na nyimbo mbovu zaidi za Amapiano,
Bora zaidi
1. Anajikosha. - Harmonize
2. Mama Amina - Marioo...
Money Heist naona wanataka kutubakiza tu kuwafuatilia. Season 5 imeisha ila bado wapo pale pale walipoishia Season 4. Mbaya zaidi Tokyo nae amekufa, team ya Professor inapigiwa mwingi sana.
JANGA
Eeh uliye kwenye mawingu, uliye mkubwa kuliko wote, tunaomba utusalimu kwa mwanga wako ili tujue iwapo u-hai. Eeeh Ingatambo mungu wa nchi yetu, tusaidie. Hiyo ilikuwa ni sala iliyotoka kwa...
Hii ni simulizi ya maisha ya Shaaban Robert kama ilivyoandikwa na yeye mwenyewe. Fuatana nami uisome hapa, pia unaweza kuisoma bure ndani ya maktaba app (by pictuss) inayopatikana playstore...
Dar es salaam ,
Katika jiji la dar es salaam uwezi kuwataja wanawake uwezo kipesa ukamkosa kumtaja veronica butimba kutokana na kujitolea kwake kusaidia jamii hasa watu wasio jiweza utajiri...
Hio video sio ya kukosa kuitazama wakina mama wamefurahi na me nimeipenda mitikasi Yao sichoki kui repeat..kwa nyuma naona banc ABC kwenye bango sa sijui walikuwa kitchen party au kwenye uzinduzi...
Binti Christina ni afisa wa Benki
bibi Ganush nyumba yake inatakiwa kuuzwa ameshindwa kulipa mkopo na ameshaongezwa muda mara mbili, Chritine ana uwezo wa kumuongeza muda bibi lakini hii ni...
Salaam wana Jamvi!
Kuna speculations nyingi sasa kwamba, yapo mahusiano makubwa kati ya LOGO ya Big Brother Africa (BBA) na alama za Illuminati. Je kuna ukweli wowote katika hili?
Ni nani...
chama la wana simba ni kiiiibokooooo siiimba ni nooma eeheeeee siiimba siiiimba aaaah aweweweeee walete waleteeeeeeeee
Niki report toka kurasini bandarini ni mimi Nzagamba dume a.k.a MZEE TOZI...
Wadjda Binti wa miaka 10 anatamani sana baiskeli, wadjda hawezi kununuliwa baiskeli kwa vile jamii yake inakataza mwanamke kuendesha baiskeli, anaamua kujifua na kuingia kwenye mashindano ya...
Justin Bieber amepewa jina jipya 'Prince of Pop' baada ya muziki wake kupata wasikilizaji Milioni 83.3 ndani ya mwezi mmoja katika mtandao wa Spotify na kuweka rekodi mpya ya msanii aliyesikilizwa...
Habari wana jamvi...kwa muda mrefu sasa nimekuwa nikitafuta full performance ya clip ya huu wimbo au hata original song lakini hadi sasa sijapata...naomba msaada niweze kufanikisha...I love the song
Naanza kuona haya mashindano ya Kili marathon kama yanaelekea kubaya sasa na sio tena base ya mataifa makubwa katika ukimbiaji kuja kupima wakimbiaji wake. Leo nmeona kitukokwa mmoja wa wakimbiaji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.