Mambo vipi?
Kuna wimbo nautafuta mpaka leo sijajua ni nani ila ulikuwa unapendwa kupigwa sana TBC kipindi cha jioni cha miziki, alieimba ni mdada sijui jina lake, anamwimbia jamaa kwamba, "...
MZIKI ULINIAJILI... NI KAMA LUCK DUBE ALITABILI CORONA (ALIVAA BARAKOA KWENYE WIMBO WAKE WA THE WAY IT SI)... NA KUKATALIWA NA WAZUNGU.
Je, Generation yake inatabili janga gani la Dunia?
"Can You Still Trust Anybody to be Good After Everything You've Been Through?"
Binafsi siwezi, kwa umri niliofikia na kutembelea sehemu na maofisi mbalimbali, nikijumlisha na life la mtaani...
Kwa anayemfahamu huyu binti ana UMRI gani? Tumuoe tunamiliki GOROFA NA VOGI? SASA TUSHINDANE KWA UTAMADUNI - Mbinu za kupata RAIS BORA WA TANZANIA WAJAO
DStv Wana channel inaitwa Nat Geo, wana kipindi kinaitwa Banged-up Abroad.
Kipindi kizuri Sana kinahusu watu waliokamatwa nje ya nchi kwa makosa kama madawa au kutekwa na waasi.
Real life...
hii nyimbo ya Phil collins- do you remember kiukweli kama umemipitia kwenye mapenzi na uliyempenda,ulitaka kuwa chaguo lako,kulingana na maisha ya hapa na pale.
Nitawarudisha nyuma lyrics
We...
Hivi kwa nn siku hizi tukienda disco haipigwagi blues?
Ukute ulienda peke yako bila mupenzi halafu muda wa blues ufike [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] utaona mtu anazunguka kona...
Habari za Usiku Wana Jamii Forums.
Ninae Rafiki, Msichana, mwanachuo Wa DIT. Anakipaji Kikubwa sana cha Mziki yaani Anaimba Dunia ya Mwisho
Nimeambatanisha Audio Aliyoimba Akifanya kama Cover...
Katika dunia ya sasa, views ni kipengere mojawapo muhimu sana cha kuitrendisha sanaa ya nchi fulani katika uso wa dunia.
Hali imekua tete baada ya mabando kupanda bei saizi youtube watu...
Habari Wadau!
Hi track inasemekana imetoka jana nimeicheki You tube kupitia shared you tube link ya globalpublishers.co.tz mistari yake imenifikirisha na bado inaendelea kunifikirisha.
Sijui...
Nimebahatika kuziangalia hizi zote, kitu cha kwanza kabisa, hazifanani, ni muvi tofauti ila ukija kwenyr uandishi, huyu aliyeandika hii Squid Game, ameiandika kiuandishi kabisa.
Muvi A: Series ya...
Hii Ndio List Ya Wasanii Waliotazamwa Zaidi Katika Mtandao Wa Youtube Kwa Mwezi Wa Kumi Kwa Mujibu Wa @chartdatatz
1. Diamond Platnumz - 33.6M
2. Rayvanny 20.9M
3. Alikiba 13.6M
4. Harmonize...
Ni wazo tu, Wasanii wengi wameshatangulia mbele ya haki! Hawa waliobaki wangejiunda wakafanya tamasha la kuwakumbuka/kuwaenzi kwa kazi zao.
Pesa itakayopatikana isaidie familia zenye uhitaji za...
Donnie yen tena ndani ya nyumba jamaa kacheza kama afisa polisi afande bong
huyu mwamba akicheza uhusika wa polisi anakiwashaga kweli na humu kakiwasha kweli hii movie imejaa...
Mwaka huu imetimia miaka 17 tangu tumpoteze gwiji wa muziki mnamo mwaka 2004 na kuzikwa makaburi ya kinondoni. Nataka tujadili uwezo na mchango wa Ndala Kasheba kwenye muziki wa Tanzania.
Kwa...
Leo nimekumbuka nimetokea kukumbuka miaka sana nyuma. Kuna hizi katuni za Walt Disney zilikuwa na nyimbo ambazo zilitungwa kwa umahiri wa hali ya juu na kuimbwa na wanamuziki wakubwa.
Kuna...