Best Songs From Disney's Animated Films

MALCOM LUMUMBA

JF-Expert Member
Jul 26, 2012
16,836
2,000
Leo nimekumbuka nimetokea kukumbuka miaka sana nyuma. Kuna hizi katuni za Walt Disney zilikuwa na nyimbo ambazo zilitungwa kwa umahiri wa hali ya juu na kuimbwa na wanamuziki wakubwa.

Kuna nyingine ziliweza hadi kushinda Tuzo za Grammy na mpaka leo hii nyingi zimeendelea kushinda. Binafsi orodha yangu ni hii....

1. Colours of the wind - Pocahontas

2. Under the sea - Little Mermaid

3. Can you feel the love - Lion King

4. A whole new world - Alladin

5. I wanna be like you - Jungle Book
 

MALCOM LUMUMBA

JF-Expert Member
Jul 26, 2012
16,836
2,000
6. Beauty and the Beast

7. Everybody wants to be a cat - Aristocats

8. He lives in you - Lion King


9. Prince Ali - Alladin

10. I will make a man out of you- Mulan
 

MALCOM LUMUMBA

JF-Expert Member
Jul 26, 2012
16,836
2,000
You're ain't never had friend like me....!!
Napenda nyimbo zilizotumika kwenye Moana!
Very sweet songs
Moana ni hatari sana. Filamu nyingi za kisasa za Disney kama Frozen na Zootopia zina nyimbo nzuri japo binafsi nazipenda zile za miaka ya 80's na 90's sasa sijui ni Nostalgia yangu au hizi za sasa zimekosa ubunifu kama ule wa zamani.
 

MALCOM LUMUMBA

JF-Expert Member
Jul 26, 2012
16,836
2,000
cartoon zao siku hizi zinawajenga watoto kwenye ushoga na rainbow flags nyiiingi
That's what we call Social Engineering:
It's a malign agenda aimed at controlling how our children will think . Sasa kama mzazi haupo makini unaweza kukuta watoto wamekaa siku nzima na Disney Channel wanaangalia vitu vya ajabu.
 

EINSTEIN112

JF-Expert Member
Oct 26, 2018
9,328
2,000
That's what we call Social Engineering:
It's a malign agenda aimed at controlling how our children will think . Sasa kama mzazi haupo makini unaweza kukuta watoto wamekaa siku nzima na Disney Channel wanaangalia vitu vya ajabu.
Saaana mkuu, napendaga sana animated movies ila contents zina agenda nyingi za mafumbo zenye NIA OVU sana ndani yake
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom