Wimbo huu niutafutao unaitwaje?

Wimbo huu niutafutao unaitwaje?

Mkogoti

TAPELI Mkubwa
Joined
May 3, 2020
Posts
2,415
Reaction score
3,927
Mambo vipi?

Kuna wimbo nautafuta mpaka leo sijajua ni nani ila ulikuwa unapendwa kupigwa sana TBC kipindi cha jioni cha miziki, alieimba ni mdada sijui jina lake, anamwimbia jamaa kwamba, " napotapata mpenzi wangu haupo wala sikuoni, bicoz I love you", harafu ghafla anatoka ndani ameshika kashikilia mabaloon au maputo akakimbia nayo mpaka Maeneo ya baharini akafika pale akayaachilia yakapaa angani?

Nb: nahisi ntaupata kwa kuambiwa jina tu
 
wakizungu au
 
Ukienda pale mtaa wa kijani ukitoa maelezo hayo TU watakuelewa na kukusaidia kwani wameigeuza tv na redio za chama.
 
Na mimi natafuta wimbo ila jina lake silijui. Najua beat yake tu.
Beat yake inapigwa "ndu ndu nda ka cha chiki chiki dum dum che pa paaapaa", nisaidie wadau niweze kudownload. Bonge moja la ngoma hilo.
 
Eeeh mkuu wanakuja 😅🤣 aisee hii ni zoezi la Squid game kabisa🙌 maana sio kwa beat hiyo ila watakuja
 
Na mimi natafuta wimbo ila jina lake silijui. Najua beat yake tu.
Beat yake inapigwa "ndu ndu nda ka cha chiki chiki dum dum che pa paaapaa", nisaidie wadau niweze kudownload. Bonge moja la ngoma hilo.
nyimbo ya alhaji hiyo bob si ndo anaimba gudu yesa mayesa yesa sesabele ehe alhaji kudidi ndum [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mambo vipi?

Kuna wimbo nautafuta mpaka leo sijajua ni nani ila ulikuwa unapendwa kupigwa sana TBC kipindi cha jioni cha miziki, alieimba ni mdada sijui jina lake, anamwimbia jamaa kwamba, " napotapata mpenzi wangu haupo wala sikuoni, bicoz I love you", harafu ghafla anatoka ndani ameshika kashikilia mabaloon au maputo akakimbia nayo mpaka Maeneo ya baharini akafika pale akayaachilia yakapaa angani?

Nb: nahisi ntaupata kwa kuambiwa jina tu
 
Artist; Erica lulakwa
Song: Close to you

Similar Discussions

Back
Top Bottom