Nat Geo: Banged up Abroad ni kipindi kizuri

Nat Geo: Banged up Abroad ni kipindi kizuri

The Boss

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2009
Posts
49,320
Reaction score
117,654
DStv Wana channel inaitwa Nat Geo, wana kipindi kinaitwa Banged-up Abroad.

Kipindi kizuri Sana kinahusu watu waliokamatwa nje ya nchi kwa makosa kama madawa au kutekwa na waasi.

Real life stories.

Kipo kila siku kuanzia saa tano usiku.

Hiki kipindi nakipenda sana.

Anyone else anaetazama hiki?
 
Napendelea zaidi Nat Geo wild hasa 'Snake in the city' Suzy manyoka nyoka nampenda balaa
 
Aisee nilifikiri Mimi Tu ndo napenda hivi vipindi..vitamu sana
😅Naangalia hapa Discovery saivi

the very best kwa kweli..unaijua dunia sanaa..wl pass it kwa wanangu
Mi ni TV addict tangu mdogo and was a fan loong time esp Nat Geo,Discovery nkaijua badae
 
Back
Top Bottom