Richmoto Kushmoto
JF-Expert Member
- Jan 18, 2021
- 549
- 561
Donnie yen tena ndani ya nyumba jamaa kacheza kama afisa polisi afande bong
huyu mwamba akicheza uhusika wa polisi anakiwashaga kweli na humu kakiwasha kweli hii movie imejaa uhalifu,Usaliti,Mapenzi,upelelezi na mkono wa kutosha kama unapenda basi hii movie ni type yako
ila ile scene donnie unapiga drift unatoka ndani ya gari unamwokoa mtoto na kubinjuka pale utanisemehe [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Naipa rate 8/10