Quimica
JF-Expert Member
- Feb 21, 2018
- 1,118
- 1,395
Habari za Usiku Wana Jamii Forums.
Ninae Rafiki, Msichana, mwanachuo Wa DIT. Anakipaji Kikubwa sana cha Mziki yaani Anaimba Dunia ya Mwisho
Nimeambatanisha Audio Aliyoimba Akifanya kama Cover Ya Nyimbo Ya Jeniffer Ya Guchi Unaweza kuisikiliza .
Lengo La kuanzisha thread hii ni Kutafuta Mtu Mwenye Mawasiliano na Meneja au Mtu Anayefanya Kazi WCB Wasafi au Nandy Natumaini Wakiskiliza Watamgombania Sana.
Naomba kama Ukiwa Tapeli Ukataka Kutwambia Tutume Pesa Kwako Ujue Hatutaweza Kufanya Hivyo .
Msaada Wako Ni wamuhimu Kwetu Kumsaidia Afike Mbali.
Hii hapa Audio ya kazi yake: