marcoveratti
JF-Expert Member
- Sep 21, 2017
- 1,106
- 1,948
"we are going to die soon so i need to know how it feels like ,,i can't die virgin"
By Arya Stack
Muda huo white walkers wako kwenye njia yao wana kuna na winter hii apa!..
Idea ya kwanza kabisa ya Mwandishi wa Mfululizo wa vitabu vya THE SONG OF ICE AND FIRE ambavyo ndio story ya series ya GAME OF THRONES ilikua ni kuandika story ambayo haina Happy ending.
Ilikua kama story zote duniani zinaisha pale Prince Charming na Snow white waliishi kwa furaha baada tabu zote zote walizo pitia ..
Idea ikawa ni story isio na happy Ending mwenye vitabu vyake anasema "IF YOU THINK IT HAS HAPPY ENDING YOU HAVEN'T PAY ATTENTION"
Kila story ina happy Ending hata zile ambazo Best couple zinavunjika kama ile ya Jack na Rose wa Titanic. Haikua happy Jack kufa ila kifo chake kilikua ndio uzima wa Rose so ni happy kwake
Song of ice and fire ina story zaidi ya 10 ila yakwangu na bora zaidi ni ile ya Arya Stack " THE GIRL IS NO ONE " na hii story ina happy Ending "THE GIRL IS ARYA STACK OF WINTERFEL AND AM GOING HOME" kibabe God of faces haamini anachoona..
Kama ningekua ndio ninae amua nini kifanyike studio za HBO bas ingekuwepo series ya maisha ya ARYA STACK tu ...maisha yake yana unyama mwingi sana aliua mpaka nzi humo ndani Arya..
Somo kuu hapa ni "ADUI UNAE MUWEZA USI MUACHIE MUNGU"
Wasicho kijua wengi ni kwamba Arya Stack cast yake ilikua inaishia Season 7 ila wazo lili badirika juu kwa juu baada ya mjadara wa nani aje amuue KNIGHT KING
wazo la kwanza ni JOHN SNOW the Basterd son ,ila ika onekana kwamba why kila siku Snow ndio anaokoa watu!.
kura zikaangukia kwa Arya na ndio ikawa pona yake japo waandaaji wa series wali mualia hadi Ed Sheran ambae ni favourite kwa Arya in real life kwenye Scene ya kifo chake
Kilicho fata ni story.