EP mpya ya Rayvanny ni kali sana inapita hadi hizi album zilizotoka

Mayunga234

JF-Expert Member
Feb 17, 2017
1,726
1,989
Ukiskiliza EP ya Rayvanny nyimbo zote ni kali na hakuna ngoma utaskip zote ziko poa na utatamani kuskiliza tena na tena. Rayvanny alitulia sana alivyoandika hizi ngoma mashairi yamenyooka kama vile sio jamaa from mbeya. EP imekamilika kila kitu kuanzia beats, Melody, Mixing, na lyric

Rayvanny ni moto wa kuotea mbali ni vile sio mtu wa makik. EP YA RAYVANNY ndo inaongoza then inafatia ya KING KIBA

Huyo mwingine ametoa Maronya hakuna kitu mule zaidi ya Kusema sema watu vijembe vya kijinga mtu mwenye akili timamu hawezi kuskiliza au kupoteza mda kuskiliza Album iliyojaa vijembe ( we neeed good music nothing else sio anatuimbia upumbavu wake ) watakao download hiyo album ni watu wajinga wajinga waliokosa Direction ila mtu mwenye kujitqmbua hawezi kuskiliza upumbavu
 
Moja ya muziki mzuri uliowahi kufanywa kwenye history ya bongofleva basi utaupata kwenye EP ya New Chui.

Ni level zile tunazoota kila siku tufikie.

Rayvanny ana talent ya ajabu sana.
 
  • Thanks
Reactions: Qwy
Moja ya muziki mzuri uliowahi kufanywa kwenye history ya bongofleva basi utaupata kwenye EP ya New Chui.

Ni level zile tunazoota kila siku tufikie.

Rayvanny ana talent ya ajabu sana.
yeah, alichofanya rayvany kwenye EP ya New chui ni funzo kubwa kwa wasanii wengine.
 
  • Thanks
Reactions: Qwy
Ukiskiliza EP ya Rayvanny nyimbo zote ni kali na hakuna ngoma utaskip zote ziko poa na utatamani kuskiliza tena na tena
Rayvanny alitulia sana alivyoandika hizi ngoma mashairi yamenyooka kama vile sio jamaa from mbeya
EP imekamilika kila kitu kuanzia beats, Melody, Mixing, na lyric

Rayvanny ni moto wa kuotea mbali ni vile sio mtu wa makik

EP YA RAYVANNY ndo inaongoza then inafatia ya KING KIBA

Huyo mwingine ametoa Maronya hakuna kitu mule zaidi ya Kusema sema watu vijembe vya kijinga mtu mwenye akili timamu hawezi kuskiliza au kupoteza mda kuskiliza Album iliyojaa vijembe ( we neeed good music nothing else sio anatuimbia upumbavu wake ) watakao download hiyo album ni watu wajinga wajinga waliokosa Direction ila mtu mwenye kujitqmbua hawezi kuskiliza upumbavu
Ww mwenyewe si umedawnlod ndo mana umesikiliza
 
Ep imedoda, Ngoma zote zinafanana, melody ya kuungaunga, quality ya kiunderground kifupi Kesha potea kwenye ramani ya mziki mazima.
 
Back
Top Bottom