Beats kali toka kwa P. Funk Majani

Beats kali toka kwa P. Funk Majani

Deo Corleone

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2011
Posts
17,038
Reaction score
13,467
Ndo Godfather wa Bongo flava. Hizi ndo midundo 5 bora toka kwa P-funky;

1. Mikasi - Ngwair
2. Joanita - Pingu na Deso
3. Cheza kwa step - Jay moe
4. Bongo.com - TNG Squad
5. Mwanza mwanza - Fid q

Huu ni mtazamo wangu. Upi wako?

Welcome
 
Ndo godfather wa bongo flava. Hizi ndo midundo 5 bora toka kwa pfunky.
1.mikasi_ngwair
2.joanita _pingu na deso
3.cheza kwa step_ jay moe
4.bongo.com_ tng squad
5.mwanza mwanza _fid q
huu ni mtazamo wangu. Upi wako. Welcome

1.wachuja nafaka-wachuja nafaka
2.pig black-nini mnataka
3.juma nature-hili game
4.wanaume tmk-nyumbani
5.afande sele-darubini
 
3.juma nature-hili game

5.afande sele-darubini[/QUOTE]
kwa kiroboto pia kuna sitaki demu! na hapo kwa king sele kuna usinchukie pia!
 
Halafu wewe ndio nini lakini!!!!!!!

enzi zile studio si zilikuwa chache Bongo records...,MJ Records
Kwani nimekufanyaje halafu nimekumiss

enzi hizo maunderground wakienda kitu kidogo anawafukuza kama mbwa,leo hii utashangaa watu anaowatengenezea beats ndo wasiosikika,aliowatoa kimziki wamemkimbia
 
Kwani nimekufanyaje halafu nimekumiss

enzi hizo maunderground wakienda kitu kidogo anawafukuza kama mbwa,leo hii utashangaa watu anaowatengenezea beats ndo wasiosikika,aliowatoa kimziki wamemkimbia
Excellent acha tu......I will use the PM here its not the right place....

haki ya mama wamemkimbia maana hadi watu tulisahau kama kuna

producer anaitwa P funky....msiba wa Ngwair ndio ulitufanya tujue kuwa jamaa yupo..
 
Last edited by a moderator:
Excellent acha tu......I will use the PM here its not the right place....

haki ya mama wamemkimbia maana hadi watu tulisahau kama kuna

producer anaitwa P funky....msiba wa Ngwair ndio ulitufanya tujue kuwa jamaa yupo..
Sijui atasikikaje tena

BTW hata mi nakufuata PM
 
I hope p atarudi tena tu. Jmo.fid q,nature na sogy wamefanya ngoma pale bongo record ila hazjatoka.
 
jamaa ana vionjo vyake unique!eg kwenye ngoma ya kilimanjaro ya joh makin..,ma.vi ya kale hayanuki wadau!
 
Back
Top Bottom