Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Nimeshatikisha tikisha nyavu mi ndo Mvp wakakimbia depo ka police wa ccp niliwapigisha kuruta kwata la jkt ninakioaji mimi kushinda tht……. Ebu tumwagike wazee…….
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Ilikuwa majira ya saa 3 usiku nipo zangu nyumbani naangalia movie, Ghafla simu yangu inaita, kucheki hivi, namba ni ngeni, Nikapokea, Upande wa pili inasikika sauti ya mdada ikiongea, “ Hallo...
0 Reactions
0 Replies
585 Views
Kama wewe ni mfuatiliaji mzuri wa movies utagundua jambo hili. Movie au vipande vingi vya sinema vinavyohusu nchi zisizo za kimagharibi utakuta wameweka rangi kama kuna vumbi vumbi😀. Hivi huwa...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
huyu jamaaa huwa namkubali sana miondoko yake.. hasa ile ngoma ya PAINKILLER! anateremka na biti kama hataki. style yake ya kipekee kabisaaaaa! big up sana sakordie
0 Reactions
0 Replies
332 Views
RIWAYA: MATEKA MTUNZI: EMMANUEL PHIRI NAMBA: 0758 195 890 (KIPANDE CHA KWANZA) UTANGULIZI Licha ya baridi kuwa kali kwa sababu ya mvua iliyokuwa ikiendelea kunyesha, lakini bi Nadia Ali Rayan...
2 Reactions
28 Replies
10K Views
Waimbaji wa kwaya hii walikuwa wanaimba nyimbo za Kiswahili.Wengi wa o walikuwa wazungu(kutoka Sweden) na wabongo wachache.Ilikuwa na nyimbo murua sana. Baadhi ya nyimbo zao ni kama;Roho...
4 Reactions
16 Replies
5K Views
Habarini wana jamvi Nakumbuka miaka ya 90, kupitia Redio Habari Maalum (RHM) Kuna kwaya moja iliyoitwa "Huru Waimbaji was Sofa" waliimba nyimbo za kusifu zikiwamo "Jina LA Yesu", " ROHO...
3 Reactions
2 Replies
3K Views
Hii ngoma ni club banger, mwendo wa Instrumental kwa HIT song yes producer kafanya poa sana. Tunda kaonesha atleast yeye ni msanii mkubwa na sipingi ujuzi wake wa kutunga mashahiri (Kamuulizeni...
2 Reactions
22 Replies
4K Views
Hii ndio Official Trailer ya Filamu ya Vuta N'kuvute (Adaptation ya ile novel ya Vuta N'kuvute by Shafi A. Shafi) Filamu ilikuwa Directed & kuandaliwa Amil Shivji (Kijiweni Production)...
4 Reactions
8 Replies
4K Views
Kipindi cha BLOCK 89 hakipo hewani kwa muda sasa, hii inaashiria nini..?, kimefutwa, kimebadilishwa muda..., well, kwa mtazamo wangu mimi, BLOCK 89 Ilikuwa lazima ifutwe/kusimamishwa, Why...
9 Reactions
129 Replies
13K Views
Kimsingi kila binadamu anapitia kwenye mood swing kutokana na situation mbali mbali anazopitia na kusababisha awe down and hollow sometimes...sasa katika hali hiyo ya upweke na kuona mlima umekuwa...
8 Reactions
132 Replies
28K Views
Bila mkwanja, Wengi tungekuwa jela hata kwa skendo za ganja, Ila kwa ujanja ujanja, kwa kutumia mkwanja, Rasta anapata stata bila utata.
0 Reactions
0 Replies
556 Views
intro: What don't kill me, make me stronger, Bado najiamini na bado nasonga What don't kill me, make me stronger, Bado najiamini na bado nasonga I'm survivor, i'm survivor, i'm survivor... verse...
3 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari ya kazi wakuu? Samahani wakurungwa nisaidieni jina halisi la LUCKY DUBE.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
RIWAYA YA KIPELELEZI: ANGAMIZO MWANDISHI: HALFANI SUDY SIMU 0674 395733 WHATSAPP 0757 633010 SEHEMU YA KUMI NA NNE Daniel hakusubiri. Alichukua lile begi lenye laptop na kutoka nalo nje akiwa...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Haya wadau wiki hii najua wengi wamesafiri kwenda maeneo mbali mbali,,,tuwasaidie wale ambao wapo mikoa ya ugenini kufahamu wapi wanaweza kwenda kupata moja baridi...baadhi ya maeneo ni; 1.New...
2 Reactions
17 Replies
3K Views
Uzi huu wakuu uwe wa kupatiana lyrics za nyimbo mbali mbali ziwe za sasa za zamani. Ziwe za muziki wa aina yoyote kikubwa lugha ieleweke kwa hadhira legwa. Mimi naanza na...
3 Reactions
14 Replies
2K Views
Wakuu naomba msaada wa kupata jina la series kali ya kucheki weekend hii. Mimi ni mpenzi wa series za Kijasusi, Lovestory pia ila iwe Kali sana. Mfano wa Series ambazo tayari nilizitazama na...
4 Reactions
67 Replies
10K Views
♦️Nimefuatilia maudhui ya films za KITURUKI za kihistoria ambazo zinahusisha kwa kiasi kikubwa mapambano ya mapanga nikaona kwa mawazo yangu hazifai kuonyeshwa Tanzania ♦️ Zinaonyesha ukatili wa...
6 Reactions
45 Replies
4K Views
Duniani kuna kazi nyingi sana za mziki ambazo kutokana na culture barriers au kukosa promotion zinashindwa kutoboa but ndio nature ya muziki. Muziki mzuri huwa unakosa promo hivyo kufa kibudu na...
1 Reactions
53 Replies
7K Views
Back
Top Bottom