Natafuta nyimbo za kwaya ya Waswideni(Huru Singers) miaka ya 1990s

The Sun-of-a Beach

JF-Expert Member
Nov 26, 2018
1,245
2,000
Waimbaji wa kwaya hii walikuwa wanaimba nyimbo za Kiswahili.Wengi wa o walikuwa wazungu(kutoka Sweden) na wabongo wachache.Ilikuwa na nyimbo murua sana.

Baadhi ya nyimbo zao ni kama;Roho Mtakatifu,Nimeshinda,Yesu Anaokoa,n.k

Mfano wa mashairi kwenye wimbo huo wa Roho Mtakatifu ni kama:
"Roho Mtakatifu,Roho Mtakatifu,
Roho Mtakatifu yu juu yangu.

Imba Haleluya,Imba Haleluya,
Imba Haleluya,Furahi na BWANA."

na

"Nguvu za Giza,zitashindwa.
Kwa jina la BWANA Yesu."

Aliyenazo afanye msaada sisi wapenzi wa kwaya na miziki ya 1990s tuipate.Shukrani.
'
 
mtzmweusi

JF-Expert Member
Apr 20, 2013
7,372
2,000
Ninazo ioa sina bando la kutosha kukutumia mkuu nina eeh napenda kufanana nawe,sisi ni washindaji,sifa zote kwa kondoo,Yesu ulishinda,Jina jina la Yesu linanipa uhuru,Roho mtakatifu

Oooh safi sana!Ndo zenyewe hizo Mkuu.Sasa naweza kuzipata wapi tena maana nimecheki kwenye sites kibao (kama Boom player,n.k) lakini kote huko hola.Au mi ndo nakosea kuandika jina la hiyo Choir?
 
Ctr

JF-Expert Member
Mar 30, 2013
506
250
Waimbaji wa kwaya hii walikuwa wanaimba nyimbo za Kiswahili.Wengi wa o walikuwa wazungu(kutoka Sweden) na wabongo wachache.Ilikuwa na nyimbo murua sana.

Baadhi ya nyimbo zao ni kama;Roho Mtakatifu,Nimeshinda,Yesu Anaokoa,n.k

Mfano wa mashairi kwenye wimbo huo wa Roho Mtakatifu ni kama:
"Roho Mtakatifu,Roho Mtakatifu,
Roho Mtakatifu yu juu yangu.

Imba Haleluya,Imba Haleluya,
Imba Haleluya,Furahi na BWANA."

na

"Nguvu za Giza,zitashindwa.
Kwa jina la BWANA Yesu."

Aliyenazo afanye msaada sisi wapenzi wa kwaya na miziki ya 1990s tuipate.Shukrani.
'
ukizipata nistue mkuu
 
Chagga King

JF-Expert Member
Jul 6, 2011
1,765
2,000
Ninazo ioa sina bando la kutosha kukutumia mkuu nina eeh napenda kufanana nawe,sisi ni washindaji,sifa zote kwa kondoo,Yesu ulishinda,Jina jina la Yesu linanipa uhuru,Roho mtakatifu
Mkuu kwema, kama bado unazo tafadhali sana, naomba unisaidie nizipate na mimi, naamini zitanisaidia mambo mengi.

Nilishwahi kuandika uzi kwa ajili ya kuzipata hizi nyimbo
 
  • Thanks
Reactions: Ctr

std7

JF-Expert Member
May 6, 2011
694
1,000
Habari maalum au pale kimahama arusha unaweza kuzipata mana hizo nyimbo kama azikurekodiwa habari maalumu studio basi itakuwa kwa hapa tz wao ndio walikuwa wazisambaza
 
BabaLove

Senior Member
Feb 19, 2017
143
250
Habari maalum au pale kimahama arusha unaweza kuzipata mana hizo nyimbo kama azikurekodiwa habari maalumu studio basi itakuwa kwa hapa tz wao ndio walikuwa wazisambaza
Habari Maalum naskia ipo Arusha, kama niko mikoa ya mbali inabid nisahau
 
Immamsimbe

New Member
Aug 14, 2020
3
45
Waimbaji wa kwaya hii walikuwa wanaimba nyimbo za Kiswahili.Wengi wa o walikuwa wazungu(kutoka Sweden) na wabongo wachache.Ilikuwa na nyimbo murua sana.

Baadhi ya nyimbo zao ni kama;Roho Mtakatifu,Nimeshinda,Yesu Anaokoa,n.k

Mfano wa mashairi kwenye wimbo huo wa Roho Mtakatifu ni kama:
"Roho Mtakatifu,Roho Mtakatifu,
Roho Mtakatifu yu juu yangu.

Imba Haleluya,Imba Haleluya,
Imba Haleluya,Furahi na BWANA."

na

"Nguvu za Giza,zitashindwa.
Kwa jina la BWANA Yesu."

Aliyenazo afanye msaada sisi wapenzi wa kwaya na miziki ya 1990s tuipate.Shukrani.
'
0656961629
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom