shukrani sikaonga
Member
- Sep 11, 2021
- 10
- 3
Habari ya kazi wakuu?
Samahani wakurungwa nisaidieni jina halisi la LUCKY DUBE.
Samahani wakurungwa nisaidieni jina halisi la LUCKY DUBE.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Dube yupi?? Huyu mtoto wa philipo???
Ambaye nimemzid miaka 5??alikuwa anaimba imba hivi
lucky philip dube..alizaliwa 1960s[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Alikuwa muimbaji wa reggae kwa Sasa ni marehemu nataka kulijua jina lake halisi.
Nisaidie kama unajua mkurungwa
Nashukuru sana kijani1 1 apo nimeelewe tena kwa uzuri kabisa.