Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Kuna tuhuma imesambaa sana kwenye mitandao ya kijamii kuwa azam tv kupitia kipindi chao cha Toonami walirusha katuni yenye maudhui ya hovyo. Azam TV wametoa utetezi kuwa sio ukweli, na ni...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Baada ya kuwa kimya kwenye sekta hii ya uandishi leo naangusha wino wangu kuwapa simulizi. Huku nikiwa na machungu ya kifo cha muandishi wa zamani wa masimulizi ya kurudi kwa James akeke basi...
0 Reactions
0 Replies
725 Views
Hiki kipindi kinafurahisha na kuburudisha. Kinachonifuarahisha ni namna wadada wanavyochagua wanaume kwa sifa za kipuuzi kama Urefu, mara rangi ya ngozi na kadhalika. Wadada wanataja sifa fulani...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari wakuu.. Hapa bongo kumeibuka kitu kinachoitwa EP ,mpaka Sasa naona neno album limeshaanza kupoteana kabisa kwenye tasnia ya mziki ,kila msanii anajificha kwenye EP ,mara EP ya nyimbo...
3 Reactions
21 Replies
4K Views
Kwa kiasi kikubwa kwenye mechi za hivi karibuni Djigui Diarra ameanza kutoa ushuhuda wa sifa alizopewa wakati wa usajili wake. Screen protector, mdaka mishale, mdaka mabomu na na sifa zote niliona...
1 Reactions
1 Replies
488 Views
Hii series nzuri sana, inaelezea changamoto za kuanzisha biashara na kujaribu kubadili maisha, kupata investors nk
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Ukitoa hii UTOPOLO (Dream Winners) game gani zuri la mpira (offline) ambalo nikiwa nacheza linatangazwa....
1 Reactions
7 Replies
4K Views
3D animation yangu ya kwanza niliyofanya kutumia Blender 3D na Unreal Engine 5. I hope i did a decent job [emoji16]
6 Reactions
8 Replies
1K Views
Hawapigi tena track redioni, Na hata kwenye TV haunioni, Na jina haliendi chini, Najua unashangaa hata mimi sijui kwanini, Je ungenipenda Kama nisingekuwa Staa!? Kwasababu sio handsome wanasema...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Muda huu kama upo karibu na tv waweza tune Chanel ten (inayomilikiwa na ccm),ambapo mgeni rasmi ni Rais Samia.
0 Reactions
2 Replies
485 Views
JUZI nilikuwa nikiangalia mahojiano katika stesheni moja ya televisheni ya lugha ya Kifaransa. Aliyekuwa akihojiwa alikuwa Youssou N’Dour, mwimbaji maarufu wa Senegal aliyetangaza kwenye...
2 Reactions
1 Replies
2K Views
Kazi ya Mzungu 1 DAVID NGOCHO SAMSON Miaka miwili iliyokuwa imepita, Masuke aliamua kuondoka kijijini kwao Malonje na kuingia jijini kutafuta maisha kama ilivyo kuwa desturi ya vijana wengi...
6 Reactions
123 Replies
40K Views
Kwanza niseme mimi ni Simba lilia ila hapa nitaongea ukweli 1. Mo Dewj Huyu bwana tunamshukuru sana kwa sababu tangu alipoichukua team kwa miaka minne mfululizo tumekuwa mabingwa na tumekuwa...
0 Reactions
5 Replies
615 Views
Nimeangalia video zake kadhaa, mfano Daraja la Kijazi-Ubungo, Eco-Village Kigamboni, Makumbusho n.k. Afanyie kazi haya; 1. Anachapia kiingereza(ajifunze lugha hiyo) utadhani ni Watanzania pekee...
2 Reactions
8 Replies
684 Views
Wanasimba wenzangu, hivi karibuni nimesikia tetesi (ingawa hazijavuma Sana ) kwamba Simba inamuwinda Papaa Ibenge, nasikia hana furaha na maisha ya Berkane, Wazee wa za ndaaani embu tujuzane hapa
1 Reactions
5 Replies
674 Views
See the video at Niamini ft. Alikiba - Hamadai - Lyrics & Music Video "Hamadai" - Song Lyrics eyyoooo oh beby mwezi hauishi takuvisha pete niaamiiini vicheche sina mpango nao nimeacha mapepe...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Nimeshatikisha tikisha nyavu mi ndo Mvp wakakimbia depo ka police wa ccp niliwapigisha kuruta kwata la jkt ninakioaji mimi kushinda tht……. Ebu tumwagike wazee…….
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Ilikuwa majira ya saa 3 usiku nipo zangu nyumbani naangalia movie, Ghafla simu yangu inaita, kucheki hivi, namba ni ngeni, Nikapokea, Upande wa pili inasikika sauti ya mdada ikiongea, “ Hallo...
0 Reactions
0 Replies
585 Views
Kama wewe ni mfuatiliaji mzuri wa movies utagundua jambo hili. Movie au vipande vingi vya sinema vinavyohusu nchi zisizo za kimagharibi utakuta wameweka rangi kama kuna vumbi vumbi😀. Hivi huwa...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
huyu jamaaa huwa namkubali sana miondoko yake.. hasa ile ngoma ya PAINKILLER! anateremka na biti kama hataki. style yake ya kipekee kabisaaaaa! big up sana sakordie
0 Reactions
0 Replies
332 Views
Back
Top Bottom