Kama hujui pakwenda kuruka kwanja pitia hapa

Kama hujui pakwenda kuruka kwanja pitia hapa

Author

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2014
Posts
1,745
Reaction score
8,230
Haya wadau wiki hii najua wengi wamesafiri kwenda maeneo mbali mbali,,,tuwasaidie wale ambao wapo mikoa ya ugenini kufahamu wapi wanaweza kwenda kupata moja baridi...baadhi ya maeneo ni;

1.New City Pub & Carnival, PSON,Mbeya Pazuri, Mwailubi - Mbeya

2.Mango garden,Calabash,City Pork, Joint Park, 5n - Dar es Salaam

3.New Malaika Lounge, Royal pub, Rainbow, Club Seven - Dodoma

4.Villa Park Resort,Golden Cres,D-link - Mwanza

5.Samaki Samaki - Morogoro

6.Mandasha pub,Mo-town - Moshi


Msimu wa sikukuuuuuu...Vingine wadau ongezeeni watu wajue wapi wanaweza kwenda kwa ajili ya kula, kunywa na viburudisho n.k.
 
Bila kusahau,
1.La chalz - Songea
2.Mandasha Pub - Moshi
3.
 
1.Mbeya Pazuri -(Mbeya) 2.Marafiki Iromba (Mbeya) 3.Negro Mbalizi (Mbeya) 4. Nyasanga uyole (Mbeya)
 
Waruka kwanja mpoooooo
 
Wadau wa kuruka kwanza...tupooooooo
 
Sidhani kama hapa bongo(Tanzania) Au East Africa kabisa kama kuna sehemu nzuri na bei rahisi at the same time kama Wag hill-Mwanza
 
Diamond Auto link ya Kona ya Bwiru
kwani pale na bundesliga wapi mpango?

Hiyo waghill sio level za kuilinganishia na mwanza mzee...hiyo ni level ya E.Africa kabsa sema wale wahindi hawajui kuipromote
 
Mkuuu hii ipo eneo gani hapo Rock City
luchelele..saut kwa mbele
kuna
swimming(pool na ziwan)
Sidhan mwanza kuna pool iliyo deep kama ya hao jamaa
kuna
Bar and lounge
Restaurants
Michezo ya bunduki (paintguns)
zoo
pundamilia,swala,nyani,chui
kuendesha boti
kuendesha pikipiki ya majini
kuendesha pikipiki matairi manne
kijiji cha maonesho cha wamasai
kuna kuendesha ngamia+farasi
etcetra etcetera

halafu ina eneo kubwa kama kijiji
nlishakaa siku mzima na sikupamaliza
 
luchelele..saut kwa mbele
kuna
swimming(pool na ziwan)
Sidhan mwanza kuna pool iliyo deep kama ya hao jamaa
kuna
Bar and lounge
Restaurants
Michezo ya bunduki (paintguns)
zoo
pundamilia,swala,nyani,chui
kuendesha boti
kuendesha pikipiki ya majini
kuendesha pikipiki matairi manne
kijiji cha maonesho cha wamasai
kuna kuendesha ngamia+farasi
etcetra etcetera

halafu ina eneo kubwa kama kijiji
nlishakaa siku mzima na sikupamaliza
Nimekupata brother.
Hapo Mwanza mimi huwa nikifikia mitaa ya hapo Lacairo au Ferms naishia Rock City na hapo Villa hizo viwanja zingine inabidi nikija pande hizo nikasafishe macho. Kuna wale Kamanyora Band walikuwa hatari sana chini ya Ally Choki hapo Villa Park lkn mwezi Oktoba nimefika hapo Villa nikakuta pamefungwa sijui imekuwaje mkuu.
 
Back
Top Bottom