Tupia nyimbo yeyote Kali isiyofahamika toka nchi yeyote

Humble African

JF-Expert Member
Jul 28, 2013
4,779
14,311
Duniani kuna kazi nyingi sana za mziki ambazo kutokana na culture barriers au kukosa promotion zinashindwa kutoboa but ndio nature ya muziki. Muziki mzuri huwa unakosa promo hivyo kufa kibudu na mziki usio na radha upewa promo na publicity na media na nature ya ubongo uamini kile imachosikia Mara nyingi zaidi kuwa ni bora na kizuri.

Binafsi kuna mziki nausikia kwa Mara ya kwanza then naishia kujiuliza I'm living under the rock or within this world kwanini sikuujua huu mziki zamani? Maana its sweet and magical.

Tutupie kazi Kali from any country in the world bila kujalisha chochote as long as uwe mkali na harmony iwemo.

Kuna hii hapa ngoma hakuna mlatino asiyeijua...ukitaka kufanya kausafi huku unacheza kidogo hii ngoma ndio mahala pake.. Hii hapa inaitwa suavemente

Kuna huyu mmama muethiopia anaitwa ester aweke ni kama Patricia Hillary wa bongo ana ngoma yake hii murua sana hii hapa

Kuna huyu hapa Usher Raymond wa France anaitwa slai ngoma inaitwa flamme..very good and eternal song hii hapa

Bonge la zouk kutoka kwa Daan junior anakwambia Avew hii hapa
 
Bongo bahati mbaya - young dee
Jux - uzuri wako.
Diamond platnumz ft rick Ross - waka waka
Snura - chura
Nikki mbishi - jk
Roma - kibamia.

Eti zimefungiwa.
 
..
CHANT front cover 300.jpg
 
Nafikiri ukiona kitu kinapendwa na wengi ujue kizuri, zama zimebadilika. Niliwahi kuusikia wimbo wa Mzambia Meddy kwa siku moja tu nikaupenda ila sio hizi.
Meddy ni mnyarwanda mkuu..anajua sana ana ngoma mpya Kali inaitwa slowly itafute.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom