Keagan Paul
JF-Expert Member
- Jul 19, 2018
- 519
- 3,195
Wakuu naomba msaada wa kupata jina la series kali ya kucheki weekend hii. Mimi ni mpenzi wa series za Kijasusi, Lovestory pia ila iwe Kali sana.
Mfano wa Series ambazo tayari nilizitazama na kuzipenda sana ni
1. Iris
2. Prison Break
3. Game of throne
4. The Last Kingdom
5. The Hundred
6. The Oval
7. If Loving you is Wrong
8. Little Liars
9. 24 Hrs
10. Athena
11. The 100
12. All American
13. Homeland
14. Condo
15. Breaking Bad
16. Gangs of London
17. Money Heist
Wakuu, naomba kupata Majina ya series Kali kama hizo, aina ya series ambazo mtu unaamka hata usiku wa manane kuicheki. Upo Kazini lakini muda wote unaiwaza hiyo series.