mayowela
JF-Expert Member
- Nov 2, 2014
- 2,125
- 1,757
Kipindi cha BLOCK 89 hakipo hewani kwa muda sasa, hii inaashiria nini..?, kimefutwa, kimebadilishwa muda...,
well, kwa mtazamo wangu mimi, BLOCK 89 Ilikuwa lazima ifutwe/kusimamishwa, Why..?
Mwanzo wa mwezi huu kilitambulishwa kipindi kipya cha THE SWITCH kikanirudisha nyuma nikahisi hiki kipindi si kinaweza fanana na kile kilichokuwa kikiruka Times FM miaka ya Nyuma, na kilisimamiwa na Raheem Da prince, Yasin Da King, kikiwa kimebase kwenye uchambuzi wa nyimbo za nje zaidi,
Kumbe hapana, THE SWITCH ya Wasafi fm, yenyewe imeambatana na usajili wa Lil Ommy, Ammy gals, Nick mills na Donald, mwenyeji wao Ray Mshana, kimebase kwenye burudani zaidi, na kuhoji wasanii,
Kwanini Wasafi walianzisha THE SWITCH wakati BLOCK 89 ilikuwepo..?
-BLOCK 89 Kilikuwa kipindi kinachofanana na THE SWITCH pia hakina watangazaji wenye majina kivile ilikuwa ni lazima kifutwe ili kiipishe THE SWITCH
-BLOCK 89 Haikuwa kwenye prime time kwahiyo kilikuwa hakiingizi pesa, tukumbuke PEPS & VODA walikuwa sio wazamini wa kile kipindi
-BLOCK 89 Ilikuwa lazima ifutwe ili kukipa nafasi kipindi cha THE SWITCH kiuzike kirahisi ukizingatia kinaruka prime time na kina watangazaji wenye ushawishi na majina
-BLOCK 89 Kilikuwa kipindi kinacholalamikiwa na wasikilizaji kuwa hakieleweki na anaekibeba ni mtangazaji mmoja tu, pia wengi wao hawafanyi research kabla ya kipindi,
-BLOCK 89 Ilikuwa lazima ifutwe kwakuwa watangazaji hawana chemistry na wengine walikuwa wapo wapo tu ili mradi liende, Main host alikuwa kama anazidiwa na co hosts waliokuwa wanabwabwaja bila mpangilio,
BLOCK 89 Haipo tena, na haiwezi kuwepo
Nazani hili mmejionea wenyewe baada ya Interview ya Diamond kwenye Kipindi cha Good morning na kusepa kwa Jonijoo