Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Miaka ya 2005 mpaka 2013 redio ambayo nilikuwa navutiwa nayo ilikuwa ni Radio Free Africa, nilivutiwa sana na Watangazaji wazuri waliokuwa na weredi mkubwa moja vipindi hivyo Ni pamoja na ASUBUHI...
1 Reactions
5 Replies
3K Views
Kikundi hiki kina miaka mingi sana katika sanaa. Mpaka leo mwanaume hajawahi vaa magauni au nguo za ajabu ajabu. Wamekua katika mazingira halisi kabisa na bado kazi zao hazichoshi kutazama...
4 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari za wakati huu wana jamvi!!! Ni siku tulivu kabisa ya mapumziko!! Leo nilikua nasikiliza kibao nnachokipenda zaidi kutoka kwa Mwanamuziki nnayemkubali sana katika Bara hili. Binafsi kibao...
4 Reactions
10 Replies
4K Views
Ah Nilipanda kwenye jukwaa, watu walinishangaa Unadhifu wa meli haukufanana na nilivyovaa Kabla sijatoa salamu, walipoteza hamu Ya kuburudika wengine wakaanza kusambaa Nilikuwa na nywele nyingi...
8 Reactions
23 Replies
4K Views
Waungwana salama jamani,nilikuwa nawaomba mwenye kuwa na wimbo wa mapenzi kizungumkuti wa msondo ngoma,anisaidie hapa
0 Reactions
2 Replies
5K Views
ISHI HUMO... Focus kwenye jambo unalolipenda zaidi kuliko lile unalolijua!!?... Unaweza kuwa na maswali mengi sana juu ya kauli iliyotajwa hapo juu. Usiwe na shaka kwani majibu ya maswali yako...
1 Reactions
1 Replies
383 Views
Kampuni ya kuonyesha Filamu ya Netflix imetajwa kwa awamu ya pili kuachisha kazi takriban wafanyakazi 300 kama namna ya kudhibiti gharama za uendeshaji. Mnamo mwezi Mei kampuni hiyo ilipunguza...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Wadau naombeni movies za action hasa movies za kivita za kisasa na sio zile Karne ya 20 za kizamani nataka za kisasa. Naombeni msaada.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Rais wa awamu ya tatu Hayati Benjamini Willliam Mkapa aliwahi kusema, ukitaka kumficha mtanzania kitu chochote mfiche kwa njia ya maandishi. Sisi binafsi tunaungana na kauli hii kwa asilimia 100...
5 Reactions
6 Replies
2K Views
Anaejua jina lake na msanii aliyeimba aniambie unaitwaje?! Maana nimehangaika sana bila mafanikio
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Nisiwe na maneno mengi hebu usikilize afu utoe maksi zako
3 Reactions
19 Replies
2K Views
Haki zote zimehifadhiwa Ni marufuku kucopy, kunakili, kuhariri wala kutumia sehemu ya kisa hiki popote bila ridhaa ya mwandishi. Tabaruku kwa "kila anayeamini siku mpya ni Zawadi. Shukrani...
0 Reactions
0 Replies
627 Views
Mi siyo mpenzi wa Hip hop lakini kwa bahati jana nimemsikia Dizasta Vina. Leo nipo spotfy naunganisha ngoma zake tu. Jamaa anajua sana. Anajua kuandika. Inaonekana anafeel kabisa...
7 Reactions
23 Replies
4K Views
Muasisi wa kipindi hiki huko radio free afrika,alikipangilia vizuri kiasi kwamba sisi wahenga ikifika alhamis tulikuwa hatulali mpaka saa7 usiku. Zilizopendwa za kibongo zilipigwa toka saa4 mpaka...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
kuna promoter wa muziki ana mtafuta please anae jua details zake afunguke hapa. anyways: huyu kwenye hii video sio bi zuhura shaabani, huyu anaitwa bi samra alifanya cover ya...
1 Reactions
25 Replies
5K Views
Ukiachilia mbali Chuga tulivyobamba! Naomba msaada haka kawimbo ili week yangu nianze vizuri.
0 Reactions
0 Replies
474 Views
Hawa jamaa ni amsha, ni kwere, ubunifu wa Hali ya juu, sifurahii camera wanayotumia Ila action zao ni za kiwango cha standard gauge. Kitu Kingine kizuri kwao, ni kuwa hawatumii sauti , na hii...
11 Reactions
29 Replies
2K Views
Mwana labda vipindi kama ICU\ SHILAWADU unaweza mchukilia poa Kwissa(kamanda mzee mkavu) kuwa si lolote ni mbea tu wa mjini Ila ukweli utabaki kuwa jamaa ni mwanzilishi wa vipindi vingi vikubwa...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Wakuu ndio nimeanza kuuza movie online natoa ofa mpak mwezi wa saba nitakua natuma movie bure kabisa iwe imetafsiriwa au haijatafsiriwa link nakutumia pm nikiweka hapa mods wanafuta uzi wangu...
7 Reactions
52 Replies
4K Views
Kuna tamthilia 2 ivi huwa nazikubali sana isivyo bahati siku pataga wasaa wa kuzimalizia na kuzifuatilia coz nilikuwa na muda finyuu sanaa alafu ilikuwa ni kitambo sanaa Sasa ivi i wiah nizione...
0 Reactions
6 Replies
602 Views
Back
Top Bottom