Watangazaji maarufu enzi za RFA kweli

Kyambamasimbi

JF-Expert Member
Feb 7, 2022
570
1,229
Miaka ya 2005 mpaka 2013 redio ambayo nilikuwa navutiwa nayo ilikuwa ni Radio Free Africa, nilivutiwa sana na Watangazaji wazuri waliokuwa na weredi mkubwa moja vipindi hivyo Ni pamoja na ASUBUHI NA VODACOM Jembe FREDDY FIDELIS MASAWE aliongoza hicho kipindi R.I.P pia kulikwa kipindi Cha Bonanza sehemu ya Kwanza alikuwepo Asia Mohamed na GLORY ROBINSON MTOTO WA MAMA SABUNI.

Tukumbushane wengine jamani na wako wapi mfano mtoto wa mama sabuni Yuko wapi?
 
Roi mlaliki maganga Kuna mwana wa kuitwa anko Sam saivi yupo tbc pale anakichafua
 
1)Je huu ni uungwana- jumaa ahmed baragaza
2) asian flava- prince baina kamukulu
 
Miaka ya 2005 mpaka 2013 redio ambayo nilikuwa navutiwa nayo ilikuwa ni Radio Free Africa, nilivutiwa sana na Watangazaji wazuri waliokuwa na weredi mkubwa moja vipindi hivyo Ni pamoja na ASUBUHI NA VODACOM Jembe FREDDY FIDELIS MASAWE aliongoza hicho kipindi R.I.P pia kulikwa kipindi Cha Bonanza sehemu ya Kwanza alikuwepo Asia Mohamed na GLORY ROBINSON MTOTO WA MAMA SABUNI.

Tukumbushane wengine jamani na wako wapi mfano mtoto wa mama sabuni Yuko wapi?
Wengi wamekufa
Msabaha volt laki 6
Fredwaa
N.k
 
Back
Top Bottom