Hajto JF-Expert Member Joined Sep 30, 2013 Posts 5,652 Reaction score 5,635 Apr 9, 2014 #1 Waungwana salama jamani,nilikuwa nawaomba mwenye kuwa na wimbo wa mapenzi kizungumkuti wa msondo ngoma,anisaidie hapa
Waungwana salama jamani,nilikuwa nawaomba mwenye kuwa na wimbo wa mapenzi kizungumkuti wa msondo ngoma,anisaidie hapa
Frank Wanjiru Platinum Member Joined Apr 12, 2012 Posts 25,626 Reaction score 46,713 Apr 10, 2014 #2 Na mimi pia naomba mwenye nyimbo za Msondo ziitwazo Arabia Fadhili,Lucy Bandawe pamoja na Sekuntoza aniwekee hapa.
Na mimi pia naomba mwenye nyimbo za Msondo ziitwazo Arabia Fadhili,Lucy Bandawe pamoja na Sekuntoza aniwekee hapa.
Hance Mtanashati JF-Expert Member Joined Sep 7, 2016 Posts 25,883 Reaction score 35,938 Jun 26, 2022 #3 Aisee