Jifunze kulipenda na sio unachokifahamu

Jifunze kulipenda na sio unachokifahamu

josephdeo

Member
Joined
Nov 23, 2015
Posts
96
Reaction score
208
ISHI HUMO...


Focus kwenye jambo unalolipenda zaidi kuliko lile unalolijua!!?...

Unaweza kuwa na maswali mengi sana juu ya kauli iliyotajwa hapo juu. Usiwe na shaka kwani majibu ya maswali yako tunayo muhimu ni kuendelea kufuatilia.

Iko hivi ukipenda kitu mara nyingi inakuwa rahisi kukivumilia. Lakini Kuna nafasi ndogo katika uvumilivu pale unapokijua kitu. Mara zote uvimilivu ndio chachu kuu ya mafanikio.

Ikiwa utakipenda kitu hata kama kitazingua namna gani bado utaenda nacho lakini ukikijua kitu kikizingua ni rahisi kuachana nacho.

Ukikipenda kitu ipo siku utakiweza, lakini ukiwa unakiweza ni ngumu kukipenda kama mapendo yako hayapo huko. Ushauri wetu kwako kijana mwenzetu ni kuwa ukikosa unachokipenda angalau tafuta kile utakachoweza kukipenda
IMG_20220524_213034.jpg
 
Huwezi kupenda usichokijua, kijue kwanza, maana wengine hupenda kubla ya kujua na wakija kujua wanajuta laiti wangelijua mapema, wasingelipenda.
Kuhusu maisha nakubaliana nawewe, kwamba jambo lolote ukilipenda utalifanya vizuri na kwa furaha kuliko kujilazimisha tu, fanya unachokipenda au penda unachokifanya
ISHI HUMO...


Focus kwenye jambo unalolipenda zaidi kuliko lile unalolijua!!?...

Unaweza kuwa na maswali mengi sana juu ya kauli iliyotajwa hapo juu. Usiwe na shaka kwani majibu ya maswali yako tunayo muhimu ni kuendelea kufuatilia.

Iko hivi ukipenda kitu mara nyingi inakuwa rahisi kukivumilia. Lakini Kuna nafasi ndogo katika uvumilivu pale unapokijua kitu. Mara zote uvimilivu ndio chachu kuu ya mafanikio.

Ikiwa utakipenda kitu hata kama kitazingua namna gani bado utaenda nacho lakini ukikijua kitu kikizingua ni rahisi kuachana nacho.

Ukikipenda kitu ipo siku utakiweza, lakini ukiwa unakiweza ni ngumu kukipenda kama mapendo yako hayapo huko. Ushauri wetu kwako kijana mwenzetu ni kuwa ukikosa unachokipenda angalau tafuta kile utakachoweza kukipendaView attachment 2271514
 
Back
Top Bottom