Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Wiki iliyopita stamina alitoa wimbo mmoja wa future wife. Hapa katk verse ya kwanza alikuwa anamwita aje popote alipo ila verse ya 2 alimwambia asubir kwaza mambo sio poa. Ila mwisho kaletewa bi...
0 Reactions
1 Replies
855 Views
Niambie ipi unaipa tuzo unayoipenda zaidi Kati ya hizo mbili
0 Reactions
3 Replies
661 Views
LOVE BITE ♥️🔥 SEHEMU YA KWANZA ( 01 ) Ni siku ya jumapili iliyokuwa na kila aina ya mchanganyiko wa watu kutoka sehemu mbali mbali walionekana kwenye kumbi za starehe. Wengi ambao walikua...
3 Reactions
3 Replies
2K Views
Ama kwa hakika aliyewahi kuthubutu kusoma kazi za huyu mzee anaweza kusadiki maneno yangu kwamba ni kalamu moja flani hivi yenye utulivu ndani yake..... riwaya kama MWIBA...THE GOD...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Wakuu salaam kwenu... Jumapili ya leo nimevutiwa Sana namaneno ya wimbo wa kwaya ya uinjilisti Arusha mjini.Wimbo niwazamani kidogo Ila maneno na ujumbe wake upo imara; Mambo haya...
2 Reactions
1 Replies
997 Views
Verse 01: JayMo Mwenyezi nihurumie kiumbe Chako/ Mbele nitafikaje bila mwelekeo wako/ Kwenye Giza siwezi ona bila mwangaza wako/ Mja wako Niko chini ya miguu yako/ Naomba uninusuru na haya...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
wana JamiiForum, hivi na Baridi hili bado kuna wachawi wanapaa uchi?[emoji23][emoji23][emoji23]
1 Reactions
5 Replies
528 Views
Matuga ni kijana kutoka kijijini, alianza hustle zake baada ya kumaliza darasa la 12. Aliuza mazao na kuweka pesa mpaka alipofanikiwa kupata nauli na hela kidogo ya kujikimu alikwenda Afrika ya...
6 Reactions
10 Replies
1K Views
Na Beka Mfaume [The Greatest] MKUFU WA SHANI Rika lake lilionekana kutozidi miaka arobaini. Alikuwa akiteremka kwa haraka sehemu ya...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wakuu habalini za jioni kwa wote mlioko jukwaani hongereni kwa kazi ya kulijenga taifa...nimenzisha uzi huu spesho kwa Madj's wote walio wahi kuwa katika kazi hii na watakao penda na ambao...
1 Reactions
6 Replies
752 Views
Kwenu Azam tv, azam two! Kiuchache tu nisiwachoshe wadau wenzangu na wafuatiliaji wa Osman/Ottoman Empire, inayofuatiliwa na watu wengi. Ombi langu kwenu Azam tv/Azam two, tunaomba...
9 Reactions
41 Replies
6K Views
Ukiwa mfanyabiashara, unaambiwa hata uwezo wako wa kufikiria utumie kwenye kufikiria ni kwa namna gani utaweza kuingiza pesa zaidi ya unavyoingiza kipindi hicho. Yeah! Ndiyo maana halisi ya kuwa...
9 Reactions
11 Replies
3K Views
Nani anaikumbuka hii movie, nadhani ni ya miaka ya 80s au 70s, plot ni kwamba, wanajeshi wa kizungu wana kwenda mkomboa, jamaa mmoja, huyo jamaa ni Mwafrika nadhani ni alikua politician, walipo...
0 Reactions
0 Replies
497 Views
Habari wana JF Kuna nyimbo fulani nimesahau jina na mwanamziki pia. Ni ya zamani ila sio sana nakumbuka baadhi ya maneno, nitayaandika hapa chini Maneno nitakayoandika ameimba mwanaume (mbaba...
1 Reactions
8 Replies
805 Views
Nilikua siikubali Peaky blinders...Ila nkaicheck imetisha Sana ...anyways nshamaliza seasons 5 ...nasaka ya 6. Toa maoni yako.[emoji41][emoji41]
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Mimi naitwa Telo nilizaliwa huko Kigoma, Kasulu maeneo ya kumsenga miaka 60 iliopita. Elimu yangu ni ya darasa la nne, ijapokuwa kiuhalisia elimu ilinipiga sandakalawe. Maisha huko Kasulu...
11 Reactions
62 Replies
7K Views
Kawimbo katamu kana ujumbe mzuriiiii nimekaelewa.
0 Reactions
3 Replies
628 Views
Karibu kwenye uzi huu maalumu kabisa. Hapa utapata fursa ya kujifunza vitu mbalimbali vitakavyo kusaidia kukua kiufahamu: kiroho, kiakili, kiuchumi, kimahusiano nk. Ili uwe mtu wa mguso na matokeo...
0 Reactions
0 Replies
409 Views
kitabu hiki kiliandikwa mwaka 1907 na JH Patterson kikiitwa The man-eaters of Tsavo. kilitafsiriwa kwa kiswahili miaka ya 1960's kikiitwa Simba wa Tsavo. Unaweza kukisoma bure ndani ya Maktaba...
8 Reactions
32 Replies
7K Views
Kwa wale wenzangu na mimi wanaopenda mziki wenye vionjo vya mziki wa old school ila umetengenezwa kisasa Kwa huyu msanii ndo mahala pake ana nyimbo zaidi ya 200. Ila wa kwangu bora wa muda wowote...
0 Reactions
0 Replies
370 Views
Back
Top Bottom